Wanasemaga kila shetani na mbuyu wake! Sasa katika kupita pita ku exploit ujana wako na kuji spoil kidogo hujakutana na mbuyu wako?Mbuyu ndio nini Mkuu?
Sawa mkuu umezipa lebo gani nikizikuta sokoni nikuunge mkono mbongo mwenzanguKuteneza chupi moja kuanzia kuikata na kuiunganisha/kuishona haichukui dakika 30. Ndani ya saa moja unaweza toa chupi 3-4. Chupi moja kwa jumla ni elfu nne. Reje reja ni 6000.
Ni sawaAhhha suluali zangu huwa hazizidi tatu, ila mashati, na viatu lundo
Ahsante kwa mchango.Mtu akikosa hela ataongea Mengi hata yasiyoishi.
Daaah..... Kimilioni kimoja...Mtu anapokea kimilioni moja basi kwa udogo wa akili huhonga akidhani ndio uanaume kumbe ni ujinga uliovuka mipaka.
Mkuu nimesikitika sana. Kwa nini uzi Wangu hujashika nafasi ya kwanza?Kula Like mkuu..Wewe ni hustla
Karibu sana mkuuSawa mkuu itabidi tujifunzie kwako
Nisiongee mengi Mkuu. Tuombe uzimaWanasemaga kila shetani na mbuyu wake! Sasa katika kupita pita ku exploit ujana wako na kuji spoil kidogo hujakutana na mbuyu wako?
Kumbuka kukimbia tatizo sio suluhisho, labda uwe na tatizo la kitambi!
Wengi wanaanzaga vizuri kwa kukaza kumbe ugumu wako unatokana na ku abstain! Sasa wakishaanza kuonja ndio wanakutana na "mbuyu " wao na ndio mwanzo wa kuyumba!
Mkuu kuna watu wanaona nahadithia simulizi za Ngugi wa Thing'o hapa.Da, ila kweli alichosema mkuuu. Mimi nilisoma pale tanga TPSC sas kuna jamaaa nilikuwa nakaaa nae hostel moja tukiwa mtu3, mm na mwenzangu dulla tulikuwa wazeee wa full mapinduzi daily, miwani, kofia, ma_smartphone+earphone yaaan full mdundo, kula tulikuwa tunalipa canteen mwez mzima, lakini yule mwenzetu Thomas alikuwa anapika hostel, simu yake ukipewa weww huwez tumia maaana keypad zote zimeisha basi tulikiwa tunamuona mtu mmoja kma wa miaka ya 1980+ hivi.
Lakini ni aina ya maisha ya mtu aisee akiamua, na yule jamaaa hakubadilika mpka kamaliza chuo, lakin mm nilikiwa na begi mbili za nguo
[emoji28][emoji23] kweri aisee..!!Kweli wewe gangwe mkuu. Ila umekuwa tofauti kidogo asee, wanaume wengi wanakuwa na suruali chache mashati mengi ila wewe ulikuwa na suruali nyingi mashati machache!
Hongera kwa ugumu.
Bado sijaweka lebo mkuu. Ila nipo katika mchakato huo.Sawa mkuu umezipa lebo gani nikizikuta sokoni nikuunge mkono mbongo mwenzangu
Sawa kabisa Mkuu. Kupiga Gym ni kuzuri lakini usipige kwaajili ya wanawake Mkuu.hongera sana mzee baba...kwaupande wangu gym napiga kwajili yakuweka mwili fresh ata ikitokea varangati mtoto wa kiume niweze kujitetea,ila kwenye upande wakutafuta i dont give a fvck about anybody, shobo na mademu ndo kabisa sinaga(sijui huu ugonjwa nimerithi) muda mwingi huwa nakaa na washkaji wenye michongo ya hela na ku hustle as much as i can
Kama ni kweli hongera.ila ukitaka kuwasaidia vijana hawa nenda inst huku hawapo kabisa kiukweli vijana wanachezea mitaji sana.Sawa kiongozi.
Huwezi amini mpaka uone. Sikulaumu
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] usiwaze mkuuMkuu nimesikitika sana. Kwa nini uzi Wangu hujashika nafasi ya kwanza?
Looh!
Upo sahihi Mkuu.Umeandika vitu vya maana lkn mimi katika ujana wangu ( sikupita chuo ) nilikuwa nafanya tofauti na wewe japokuwa sikuwa mlevi tu lkn hao kina mama (Wanawake ) ilikuwa ndo kama ka ugonjwa kangu ( hapa sina nia ya kuonekana kama najisifu) lkn nilifanya mengi nao tu kwa wakati huo
Lkn sijajisahau kuanzia uwekezaji wa miradi mpaka mambo ya Ardhi kwa kuwa eti wanawake sijui nini ( najua pia nilipoteza kidogo hapa lkn nilipata uzoefu flan kuhusu jinsia hii) na inanisaidia ktk maisha yangu ya ndoa
Kikubwa ni kuwa 'focus' tu kwa vitu vya muhimu na sisemi kwamba watu wabobee huko sema wale wanaoemda 'mazima' huko ndo siyo
Afu mkuu kila kitu kina ubaya na uzuri ( kwa mtizamo wa kijamii hapa si kidini )wake kuna wengine wameangushwa na wanawake kipindi wamesimama vzr na wakaja kuanza upya na wengine wamepoteza mwelekeo kabisa na nina kisa cha jamaa yangu hakuwa na makuu na kujinyima ilikuwa ndo maisha yake akaja kutoboa kwa kujinyima na kutokuwa na mambo ya wanawake kwa sana , akajenga na miradi ya usafirishaji ikaimarika lkn ni mwanamke alie muoa na muumini mwenzake walikutana kanisani ndo amemuharibia future jamaa yangu mpaka karudi kijijini ( ni story ndefu si sehem yake)
Kikubwa kujitambua na kujua vipaumbele vyako tu
Kweli Mkuu.Kama mtazamo wako haukuathiri basi endelea Nao...ila ujue kuwa wanawake wanamchango mukubwa katika jamii pia wanawake wanaokuheshimu basi wape heshima yao na wanaokuona tofauti basi wapotezee