Zirconium
Senior Member
- Feb 1, 2025
- 133
- 175
Kwa kijana ambaye umeanza kujitafuta kimaisha, kama wazazi hawajakufukuza, au hujaaribu hapo mtaani.
Tafadhali baki tu nyumbani kwenu. Utaokoa kiasi flani cha fedha.
Achana na jamiii inaongea nini kuhusu watu ambao wanaishi bado kwao, Kulipa kodi ya nyumba sio jambo la kitoto.