Kijana unayehangaika kutafuta mchongo wa kufanya pitia hapa, utakuja kunishukuru

sifahamu kwa kweli...
jaribu kumcheki...
brother kwenye kipengere cha kujitoa akili nilikifauru sana yani. kwa hiyo ukishanivuruga ndio basi tena sina msamaha wala siamini katika kutafta suruhu katika kipengere ambacho mtu kanivuruga wewe rudisha coment yako, uliyotupostia kigari chako ila uniambie umekipataje over, alafu wanaume huwa hatuna maisha ya kukosa misimamo stick to your side men, acha wehu siwezai kufuta reply ya quotation yako ile hali nireply coment uliyoandika mwenyewe, kama ulikuwa umepiga gambe mimi ndio balozi wa jamhuri ya walevi so comeback in battle groundmen
 
Si umedai kwamba umekua ukimfatilia hadi nyuzi zake za nyuma... Mpaka mkaanza kuchambana.
com on men yaani mtu anijue kwa kufuatilia nyuzi since najiunga jf? stop fooling people men, ko mnataka kuamini nini and kuna mtu amelazimishwa aamini nilichoandika kam mtu haamini deal with your own men,
niko jf since 2012 kwa IG tofauti na hii mnayoiona hapa na ihave alot of threads na zote zina expression ambayo inaendana na content buda am psychologist by nature buddah hakuna mwenye kichwa ya kuku anaweza kusema he know me via my post,I aimed be unknown IG and can't direct express who I'm via my full detailed post dude, nilichondika hapa kisiwape shida atakaeona kinamfaa atafanya atakaeona namhadaa apambane na hali yake naweza nisiwe mimi mwenye stori au awe mimi hiyo haihusu sana suala ni kufanya nilichoshauri basi
 
brother kwenye kipengere cha kujitoa akili nilikifauru sana yani. kwa hiyo ukishanivuruga ndio basi tena sina msamaha wala siamini katika kutafta suruhu katika kipengere ambacho mtu kanivuruga wewe rudisha coment yako, uliyotupostia kigari chako ila uniambie umekipataje over, alafu wanaume huwa hatuna maisha ya kukosa misimamo stick to your side men, acha wehu siwezai kufuta reply ya quotation yako ile hali nireply coment uliyoandika mwenyewe, kama ulikuwa umepiga gambe mimi ndio balozi wa jamhuri ya walevi so comeback in battle groundmen
unasema nina kigari, running cost yake unafilisika hiko kibanda chako...
pombe ikiisha ni pm nikuoneshe nawezaje kuiburuza bmw mtaani...

halafu mi sijakuomba msamaha acha kujimwambafy, sina time ya kuomba mtu msamaha... mkeo akiingia kwenye ndinga yangu ujue ndio kakuacha hivyo, hunizidi chochote labda kunywa balimi 5 na kvant...

halafu siwezi kutafuta suluhu na wewe... nimetumia uungwana kufuta post nisikuharibie uzi, nikaharibu dili zako za kuwala vichwa watu... huna chochote cha kuni motivate mimi, mimi ndio napaswa kuku motivate wewe...

endelea na dili zako...
 
Nisikuharibie uzi mkuu fanya hivi tufanye kama hakuna kilichotokea, nimefuta cmmnt yangu, waweza futa na yako pia thanks, incredible terminator
Yaani umeona ni tambo Ila hapa nazidi kujifunza mind zinavyofanya kazi jamani.
Wewe ndiye uliyeleta tambo sema nyani haoni kundule jamani.
Yaani ni Kama umeumia na jamaa alivyoumia. Kuna kijana anahangaika kutafuta mtaji wa laki moja mkuu. Kama umenyookewa shukuru sio kudisi watu.
 
Capture333.PNG
 
Dah haya maisha baya dah ..wengine wanajisifu, wengine hata mtaji wa 50k hana ..ila yote kwa yote life goes on
 
Back
Top Bottom