mikila miwili
JF-Expert Member
- Dec 14, 2021
- 563
- 562
Ndugu Zangu OeniAiseee!Ni kwa ajili ya kudumisha mila?Na hao Palestines waolewe na akina nani?Maisha kizunguzungu.
Labda nioe mitala sasa.Kuoa nimeoa zamani.Ndugu Zangu Oeni
Siku moja utaelewa tu!Aiseee!Ni kwa ajili ya kudumisha mila?Na hao Palestines waolewe na akina nani?Maisha kizunguzungu.
Polee sanaa braza kwa yaliyokukuta...Ni alfajiri chungu mno, nawakumbusha nyie vijana ambao bado hamjaoa, mkitaka kuoa oeni kwenu, nyie mnaosoma vyuo mkitaka kuoa oeni mikoa ya kwenu.
Note: TAFADHALI USIOE BINTI WA KIPALESTINA(Copper teethed) hata kama anajifanya ni mlokole kiasi gani, utakuja kunishukuru. Yaani hata akiwa anafunga mara kumi kwa mwezi usioe. Pleaseeeeee, tafadhaliii ewe kijana wangu!
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Siku moja ipi?Mimi nilishaoa siku nyingi na sikuoa kwetu.Maisha burdaani.
Naona bachela sugu for life unamuhurumia huyo ndugu!πππPolee sanaa braza kwa yaliyokukuta...
Na hizo ndio NDOA ZENU.
#YNWA
Kwamba yawezekana kakoswakoswa kugeuzwa ndafu?ππππSafi sana
Sio sababu, bado utaelewa tu siku moja. Narudia!Siku moja ipi?Mimi nilishaoa siku nyingi na sikuoa kwetu.Maisha burdaani.
Kulialia bila kuweka bayana masahibu yaliyokukumba au uliyoyaona,huwezi kupata uungwaji mkono.Eleza vizuri,nini shida?
Muoe kwenu, mkiamua kuipitisha hii iwe amri nawahurumia kaka zao wapalestinaKwamba yawezekana kakoswakoswa kugeuzwa ndafu?ππππ
AngenichinjaNi alfajiri chungu mno, nawakumbusha nyie vijana ambao bado hamjaoa, mkitaka kuoa oeni kwenu, nyie mnaosoma vyuo mkitaka kuoa oeni mikoa ya kwenu.
Note: TAFADHALI USIOE BINTI WA KIPALESTINA(Copper toothed) hata kama anajifanya ni mlokole kiasi gani, utakuja kunishukuru. Yaani hata akiwa anafunga mara kumi kwa mwezi usioe. Pleaseeeeee, tafadhaliii ewe kijana wangu!
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Vijana wenyewe siku hizi lugha zao za asili wengi hawazijui na Wala hawataki kuzijua, maisha yako kasi sana aisee, unasema uoe mkabila wako mfano muhaya aliyezaliwa na kukulia mkoa mwingine, (dodoma) huyo sio muhaya Ni mgogo ambae wazazi wake ni wahaya,Labda kwa ajili ya kuongea kilugha chenu pamoja lakin kama ni matatizo ni yaleyale mbona
Mimi sikuoa kwetu kwa sababu:Muoe kwenu, mkiamua kuipitisha hii iwe amri nawahurumia kaka zao wapalestina