Dkt Mwijuma
JF-Expert Member
- Apr 9, 2023
- 205
- 614
Kabisa mkuuYap ..
Wakati unatafuta maisha basi usisahau kuyaishi.
#YNWA
Mm sijawahi taman stage nilotokaHata ule maisha vipi, ukizeeka bado utataman ujana
Kuvaa ni starehe mkuu kumbe hujuiiii,,,, ma model kazi yao nn?
Nimekuelewa wewe ni mtu wa aina ganiKuvaa ni starehe mkuu kumbe hujuiiii,,,, ma model kazi yao nn?
Jaribu kufikilia uvae suti na tai ukiwa disko,, jinsi unavokuwa ama uvae hicho kimini kanisani, mavazi yanukupa raha na karaha
Tena kama ulikula raha ujanani ukiwa mzee utazimisi kuliko yule ambae hakula raha kabisa. Atuulize sisi walabata wa zamani tunavolimisi bata la enzi zetu.Hata ule maisha vipi, ukizeeka bado utataman ujana
Hata mm due to u'r sign "Sent from my Infinix PR652B" nimejua ww ni mtu wa aina gani
Kwahiyo point yako hasa ni ipi??Jaribu kufikilia uvae suti na tai ukiwa disko,, jinsi unavokuwa ama uvae hicho kimini kanisani, mavazi yanukupa raha na karaha
Kila kitu na wakati pia sehemu husika, ukizeeka vingi vinajifunga
Basi tumeelewana don't panicHata mm due to u'r sign "Sent from my Infinix PR652B" nimejua ww ni mtu wa aina gani
Kama simu yenyewe ni hii hapa [emoji116]View attachment 2667968
Inawezekana hii haikuhusu mkuu ww huna hela kama unatumia simu ya laki na ishirini
🤣🤣🤣Starehe eti?Kuvaa ni starehe mkuu kumbe hujuiiii,,,, ma model kazi yao nn?
Raha ya kuzeeka uwe financially stable..mengine yatajiset..Naogopa kuzeeka naogopa kudanja