kijana tulikumiss

Ahache bangi,mtu mzima sasa!!kama alihacha wizi wa magari,bangi kwa nini zinamshinda?ajirekebishe tunampenda ila hizo bangi zinavyomdrive,kazi kweli kweli,angalia agizo lake kwa mkurugenzi wa Arusha,bangi tupu!!!rehabilitation center zipo Tz nwdays za kisasa,ajaribu kuhudhuria!!!!shame on him!!!!!!
 
huu ndio tunauita wivu wa kike.shame on u
 
Mzee wa Gombe, dah, akitabasam hata meno hayaonekani?!
 
Mda mwingine kumjibu mjinga yahitaji busara sana.,ujinga ni nusu ya mauti
nafikiri hii inamfaa zaidi saudari
 

Hapo kwenye rangi nyekundu ni lugha gani?
 
Mwenye kujivutia bangi zake na kutulia na mwenye kuuzia madawa ya kulevya vijana wa TZ, kuiba mabilioni ya mapesa ambayo yangesaidia wajawazito kupata huduma bora, ambayo yangeboresha utoaji elimu kwa watoto wetu na kuimarisha huduma mbali mbali za jamii yupi ana afadhali?
 
moyoni anajisemea nyie washenzi sana....mlitukosesha usingizi sana...arumeru kuleee...siamini kama arusha mjini imerudi tena mikonon mwako!!!
Hapo mzee usoni tu lakini rohoni hanaraha kabisa
 
Ahache ndo nini? Magamba bwana hata kuandika shida.
 
Tungepata kuona na mioyo yao ingelikua poa sana...

 
Naona kuna mtu ana rangi mbili usoni!
Hali hiyo husababishwa na nini?

:target:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…