"Mikopo hiyo ni DIRI"Nadhani watoa huo mkopo hawana weredi na kazi yao maana mkopo wa kikundi lazima wanakikundi waweke sahihi na kuwe na watu zaidi ya wawili kuchukua mkopo
Naona na wanasiasa wanapenda kutumia sanaNadhani alilenga maskini!!
Ndyo hvyo sema mipango yake ndyo imefail!yaani wabongo ni waoga wa kuanza maisha mapya, asa umesha wakwapua 15m. unabaki moro kufanya nini
nenda zako mbeya, sumbawanga, katavi fanya biashara ya mazao, samaki, mitumba.
acha kuwasiliana na ulio waorodhesha kwenye mkopo ukifanikiwa kila la kheli ikibuma bora ulijaribu
Unafukua makaburi!???"Mikopo hiyo ni DIRI"
Umesahau MABILION YA JK?