Mwanaume kazi, hayo mengine ni hisia tu.😀😀😀😀
Mnaridhikaga kweeli,akiwa mchapakazi mtasema mbn una bamia,
Akiwa ana miliki punda na ni kula kulala,mtasema mwanamke anastahili huduma.
Dah ungekuja mapema ningekuelewa sema ndo ivo bas umewahi juu ya kuchelewa mkuu.Acheni kucomplicate mambo kila mtu afanye yale yanayompendeza na kufurahisha moyo wake. Kunyoa viduku, kwenda gym , kugegeda sio sababu ya mtu kutofanya kazi. Siku moja ina masaa 24 huwezi kuyatumia yote kufanya kazi
Mwanamke kama hakupendi ndio atakutafutia visingizio vya vibamia sijui na vitu gani, kuridhika kwa mwanamke kupo kwa mwanamke zaidi kuliko kwa mwanaume.Mko wachache sana ila tutafika.
Mapenzi ni zaid ya kugegedana tu ila chamsingi mwammnaume asimame kama mwanaume, show nzuri kazi msingi. Akihama kwa mwingine ajute kukuachaMwanamke kama hakupendi ndio atakutafutia visingizio vya vibamia sijui na vitu gani, kuridhika kwa mwanamke kupo kwa mwanamke zaidi kuliko kwa mwanaume.