Kijana mwenzangu zingatia haya

Kijana mwenzangu zingatia haya

Internal

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
3,579
Reaction score
3,924
Marehemu alizurura kisha akafa.

Taarifa ya marehem haitaeleza kuwa enzi za ujana alikuwa na mademu wengi, alinyoa kila aina ya mtindo, alivaa kulingana na matukio, wala alihuzuria kila kumbi ya starehe.

Ufupi wa taarifa yangu na yako ni uzembe wetu wakati wa umri wa kijana.

Tufanye kazi tulete mabadiliko kwenye jamii na kwenye taarifa zetu tukiwa marehemu.
Heshima ya ndoa ukitoa kitandani hufuatia kazi, huzuria kila aina ya gym lakini kazi ikiwa ziro utakimbiwa na kila mtu.
 
MKUU UNATAKA KUMAANISHA NINI LABDA??!!
Manake naona madesa tofauti tofauti
Ndo nimetoka usingizini nikajua kumekucha kumbe ni saa moja usiku mkuu sory kwa kuchanya ila waliolala saiz wakiamka watanielewa.
 
Hiyo taarifa ya duniani haitokusaidia kitu huko unakokwenda kama hukujiandaa nayo!
 
Back
Top Bottom