Kijana mwenzangu, unajiona wapi miaka 5-10 ijayo?

Kijana mwenzangu, unajiona wapi miaka 5-10 ijayo?

Mkuu mwnyewe hapa nasubri niachane na life la skulii nije mtaani but i see me kama afta miaka kama 3 ntakua na maisha hvii
Usiache shule kwa ajili ya kutafuta maisha shule ina impacts kubwa sana kwenye maisha,maisha yapo tuu utayakuta
 
umeandika kitu kizuri sana mkuu, ila kwa wasio na ndoto wala hawatazami kesho yao watakupinga, hasa hilo la kuanza na hatua moja.
vijana wengi (mimi si mmoja wao) hatuamini kama inawezekana kuanza chini kabisa na kisha ukafika juu (japo inachukua miaka mingi na mateso mengi pia)
yote kwa yote nawakumbusha vijana wenzaku ma hustler pigania kuwa na saving culture (tunaitaga ubahili) hii ni nguzo kubwa kwa mafanikio kwa sisi tuliozaliwa katika familia za kawaida zisizo na aina yoyote ya connection, saving culture ndio kila kitu, kwa kila unachopata leo kumbuka kuna kesho haijalishi umepata kidogo kiasi gani.
nimeingia mtaani mwishoni mwa mwaka jana kutoka shule na kuanza na u hustler moja kwa moja maana nilijipanga kwa hilo toka nikiwa chuoni. though changamoto ni nyingi ila naamini nitafika tu
 
Ulichoandika Kinafanya kazi au inaweza kuwa ni wake up call or an alert kwa wanaojitambua na kujua thamani ya muda. Baada ya kujitambua na kujua thamani ya muda then ndo unaweza kuwa na malengo ya muda maalum ( short or long term goals).
It is quiet possible kuamka,kuthamini muda wako na Kuanza leo kuwa na malengo chanya(Goals).
Hakuna Kuchelewa katika kuelekea Njia ya mafanikio. Anza sasa INAWEZEKANA.
Asante Mtoa mada kwa Ukumbusho.
 
Back
Top Bottom