Kijana mwenzako natafuta mke

Kijana mwenzako natafuta mke

Mtoa mada kasema anatafuta mdada, cha ajabu me ndio wanaohoji maswali

Mchumba umenipata, waambie mods wafute huu uzi.
 
Ni ule umri na kazi😣😣
Kila la kheri mkuu
 
Hapo kwenye moyo wa kusamehe ndyo nimeshindwa hicho kigezo yaani unicheat nikusamehe weee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom