Kijana mtanzania ashinda tuzo ya mjasiliamali mdogo zaidi Afrika

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Kijana kutoka Tanzania ametambuliwa kama mjasiliamali mdogo zaidi duniani anayefanya biashara ya Recycling.
Someni hapo chini.

Kijana mdogo Mtanzania aitwae David Denis (miaka 22)ametambulika duniani kupitia shughuli anayoifanya kwa kuoitia nywele za binadamu. Denis ametajwa katika orodha ya wajasiriamali 20 wadogo zaidi Afrika kwa mwaka 2020 iliyotolewa na Anzisha Prize. Ametambulika kwenye orodha hiyo kupitia huduma ya 'Cutoff Recycle' ambapo hutumia nywele za binadamu zilizonyolewa kutengeneza vitu mbalimbali (Recycling) ikiwemo mbolea na dawa ya kuua wadudu.
 
22 yrs ndio mjasiriamali mdogo kwa TZ,inafurahisha

na kushangaza sana lakini na kusikitisha pia.Hongera David.
 
SIjaona utopolo wa kupitia TCU kwenye mlolongo wake
Sijui sisi tutafikaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…