Kijana mmoja wa Chuo nchini Uganda ajikata koo sababu ya wivu wa mapenzi

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Muhoozi-who-tried-to-take-his-own-life.jpg

Obed Muhoozi

Kijana wa miaka 21 katika chuo kikuu cha Brahan kilichopo Kabale nchini Uganda, anapigania maisha Hospitalini baada ya kukata koo lake.

Mwanafunzi huyo wa mwaka wa kwanza alijikata koo jana wakati akiwa chumbani kwake.

Marafiki wa kijana huyo wanasema, rafiki yao alikuwa hana raha baada ya kuchukizwa na mpenzi wake.

Marafiki hao wanaendelea kusema kuwa mpenzi wake huyo wa kike alimdanganya kuwa wataitumia siku ya wanawake duniani pamoja.

Inasemekana kuwa jana alimpigia simu huyo mpenzi wake na simu yake ikapokelewa na mwanaume mwingine, ambaye inasemekana alikuwa na msichana huyo.

Baada ya siku kupokelewa na mwanaume mwingine ndipo alichukua simu na kujikata koo.

Marafiki zake walifanikiwa kumuwaisha hospitali, ambapo madaktari wanapambana kuokoa maisha yake.
==================


A 21 year old student of Bishop Braham University College Kabale is fighting for his life at Rugarama Hospital after he slit his own throat.

Obed Muhoozi, a first year student of Social work and social administration cut himself at about 4pm yesterday, while in his room at Top View Hostel.

Friends say the youngster was unhappy with his girlfriend only identified as Nahabwe, who is also a student at the same campus.

Muhoozi’s friends at the university told Chimpreports that on Women’s Day, Nahabwe had promised to spend the day with Muhoozi.

However, on calling her they said, the phone was picked by another male, who is believed to have been with the girl at the moment.

A distraught Muhoozi then grabbed a knife and inflicted a deep cut on his neck.

His colleagues luckily managed to get him to Rugarama Hospital in time, where efforts were still underway to save his life having lost a lot of blood.

Godwin Kizza the Dean of Students at Bishop Braham University College confirmed the incident but declined to comment further on the matter.


Source: Chimpereports
 
Huyo naye pambafff kabisa yani anajiua kisa kashimo tu wakati mashimo yapo kibao..
Gadem Mburulazzzzz
 
Eti naye msomi huyu!!! Kumbe kuna wasomi wengine huko vyuoni uenda kusomea ujinga!
 
View attachment 328407
Obed Muhoozi

Kijana wa miaka 21 katika chuo kikuu cha Brahan kilichopo Kabale nchini Uganda, anapigania maisha Hospitalini baada ya kukata koo lake.

Mwanafunzi huyo wa mwaka wa kwanza alijikata koo jana wakati akiwa chumbani kwake.

Marafiki wa kijana huyo wanasema, rafiki yao alikuwa hana raha baada ya kuchukizwa na mpenzi wake.

Marafiki hao wanaendelea kusema kuwa mpenzi wake huyo wa kike alimdanganya kuwa wataitumia siku ya wanawake duniani pamoja.

Inasemekana kuwa jana alimpigia simu huyo mpenzi wake na simu yake ikapokelewa na mwanaume mwingine, ambaye inasemekana alikuwa na msichana huyo.

Baada ya siku kupokelewa na mwanaume mwingine ndipo alichukua simu na kujikata koo.

Marafiki zake walifanikiwa kumuwaisha hospitali, ambapo madaktari wanapambana kuokoa maisha yake.
==================


A 21 year old student of Bishop Braham University College Kabale is fighting for his life at Rugarama Hospital after he slit his own throat.

Obed Muhoozi, a first year student of Social work and social administration cut himself at about 4pm yesterday, while in his room at Top View Hostel.

Friends say the youngster was unhappy with his girlfriend only identified as Nahabwe, who is also a student at the same campus.

Muhoozi’s friends at the university told Chimpreports that on Women’s Day, Nahabwe had promised to spend the day with Muhoozi.

However, on calling her they said, the phone was picked by another male, who is believed to have been with the girl at the moment.

A distraught Muhoozi then grabbed a knife and inflicted a deep cut on his neck.

His colleagues luckily managed to get him to Rugarama Hospital in time, where efforts were still underway to save his life having lost a lot of blood.

Godwin Kizza the Dean of Students at Bishop Braham University College confirmed the incident but declined to comment further on the matter.


Source: Chimpereports
Nyambaf sana

Yupo mjinga mwenzake yeye alikunywa maji ya battery/acid kisa dem tulishamzika 2 months sasa. Naye angeenda tu maana masomo anayosoma na alichokifanya inaonesha hatakuwa na msaada ktk jamii.
 
hahaaaahaaaaa SAUT pale miaka ya 2005-2008 kuna jamaa alikuwa maarufu sana kwa kunywa sumu ....almost kila mwaka wa masomo lazima anywe sumu akigombana na demu wake...... alikuwa anawahiwa HAKUWAHI KUFAULU KUFA:D:D:D:D:D
 
Mapenzi yanatesa wengi mno si wanaume si wanawake...Handling yake ndiyo inatofautiana kati ya mtu na mtu.
 
Huyu kijana mpuuzi kabisa sijui lofaaa anajikata koo kisa mapenzi huyu moto unamhusu hakuna kipingamizi katika hili
 
Huyo dogo mwehu kabisa!!.alivyopagawa hivyo utadhani alikuwa anaingiza mwili wote vile wakati alichokuwa anaingiza hakizidi hata inchi kumi!!.
 
Back
Top Bottom