Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,236
What if is virce versa???? bintiyo au kijana wako ndo akawa kikongwe? Maisha huwa hayana formula...Je utaleta uzi humu??? Omba sana Mungu.Wengine wanaona pouwa kwa kuwa hayawahusu...
Ngoja mabinti na vijana wao wawaletee vikongwe tuone kama hawajaleta uzi humu...
Inapendeza mtu aoe na kuolewa na age mate wake..
Chukulia huo mfano wa Khadija Kopa kuna taharabu ameimba mpaka niliuliza what's wrong kumbe ana wasiwasi kiserengeti kitachukuliwa na wa umri wake. Pressure tupu...Na siwaombei mabaya;ila its too early to conclude kuwa amepata mume alotulia au mume maslahi. Uzuri kina Shigongo hawatakawia kutupa taharifa.