Kijana Mdogo anayejua Graphic Designing na hana kazi

Nic..

Senior Member
Jul 22, 2014
145
160
Awe na sifa zifuatazo

- Ajue Vizuri matumizi ya computer (microsoft, adobe photoshop/illustrator & general computer application ni LAZIMA) Vingine atafundishwa
- Awe anaishi Dar
- Ajue kutumia kamera
- Ajue Kutumia Social Networks
- Elimu: Certificate na kuendelea
- Written and Spoken English
- Awe na Idea ya web designing.
- Umri Usiozidi miaka 25
- Awe na Moyo wa kujifunza.

Kazi ni Masaa Nane ya Siku

MALIPO - 350,000/=
(Chakula cha Mchana Kinatolewa)

Whatsapp +255 716 777 300.
USIPIGE
 
Fursa safi kwa asiyekuwa na ajira.
Mkuu endapo mtahitaji, kijana anayeweza kumanage matangazo ya Google(Search ads, Display, YouTube + Remarketing ads), SEO, Social Media, Email Marketing na Google Analytics nipo Mkuu.
 
asante Mkuu kwa kuwa muelewa.. ni PM namba yako!
 
pesa ndogo sana mkuu mi niko musoma nimemaliza diploma mwezi wa tano ongeza ninaweza kuja huko atleast 400,000. naweza vitu vingi kuliko requirements zako eg SERVER DEPLOYMENT,WEB DESIGNING i.e 1.PHP 2.HTML 3.CSS 4.SQL 5.ORACLE, MANTAINANCE & TROUBLESHOOTING, NETWORKING
other language Visual basic, Learning C++
0762165498
 
Pesa ndgo, bdo hujaproof uwezo wako(bdo on probation). Bdo hujaongeza value yoyote kwenye kampuni. Yes money is there but if work for the money, you'll be slave for the rest of your life. There's something more than money. Learn simple truth: Before you ask for think what are you willing to give. Ni mtazamo wangu tu!!
 
Ninaujuzi wote huo ongeza na after effects, premier pro, flash professional, audition, 3D max, blender. Ila bado nipo chuo now.tunaweza negotiate PM??
 
Amesema mtumie what's up.
Fuata maelekezo update part time job. Ajira hakuna mitaani mi namshangaa mtu anaekataa kazi wakati Hana kazi.

Kila la kheri

Asante mkuu, ndio nimemcheck pm niweze kupata hata part time job nikiwa likizo
 
We jamaa hauko serous 350,000 tsh, masaa nane kwa siku, afu mahali penyewe ni dar, hebu fikilia kijana wa miaka 25 na mahitaji yake kwa siku tena dar, nauli, chakula, mavazi, vocha na mengineyo.
 
We jamaa hauko serous 350,000 tsh, masaa nane kwa siku, afu mahali penyewe ni dar, hebu fikilia kijana wa miaka 25 na mahitaji yake kwa siku tena dar, nauli, chakula, mavazi, vocha na mengineyo.
Kijana ameshapatikana, wee endelea kutembea na kibahasha utaanzaq na Mshahara wa milioni. Nilitaja hicho kiwango ili kupata mtu ambaye clearly yuko dedicated sio money oriented kama wewe.
 
Mkuu hongera kwa kumpata, nani kakwambia natafuta kazi, kama unashida na kazi pia naeza kukuajili, ila sitakulipa kama unavyo walipa wafanyakazi wako, nitakulipa kulingana na hali harisi ya maisha.karibu waweza nitumia CV yako ukiwa na uhitaji, karibu.
 
Mitanzania ina matatizo sana
Mtu unaona tangazo kimeandikwa hivi wewe unakuja vile
Mnaringa sana wakati wa kutafuta kazi, wenzenu wanafanya kazi bila hayo maringo yenu
 
Back
Top Bottom