Kijana Mchapakazi

Kijana Mchapakazi

CSense

Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
6
Reaction score
1
Habari Wakuu
Bila kuwapotezea Muda, mimi ni kijana wa kitanzania mwenye shahada moja. Nisiingie sana kwenye professional yangu,ila kwa yeyote mwenye uhitaji na mfanyakazi katika kitengo chochote halali, nipo tayari kufanya nae kazi.
1.nina uelewa mzuri katika matumizi ya computer (Microsoft Word,Excel,Publisher etc)
2.Naweza kuzungumza na kuandika kiswahili na Kiingereza kwa ufasaha
3.rahisi kuelewa na kucop with environment and working system

Nilikuwa nafanya kazi na kampuni moja ya nchini Kenya iliyokuwa na project ya muda hapa Tanzania kuanzia mwezi wa 5-10.
Kwa mwenye uhitaji tafadhali njoo PM
Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom