Unaweza kumpigania mtu kwa hali na mali na ukapoteza kila kilichochaki mwisho wa siku unaompigania akakugeuka.
Mfano mzuri wabunge wa upinzani jinsi walivyopiganiwa baadae kuunga juhudi
Siasa ni itikadi.
Ukiona mwanasiasa ana hama hama ujue hafungwi na itiadi bali tumbo lake
Hawa ndiyo wengi na hawapo upinzani tu.
Hata wasira alishawahi kuhama wajua hilo