amon jason
Senior Member
- May 13, 2013
- 125
- 4
200m seriously?
Best mie niliwaza huyo kijana atakuwa na nini mpaka anauzwa.......
Usishangae 200m maana waTanzania wana madeal makubwa makubwa kama yale ya 6b yaliyoback fire SA nk...
Kiwanja kina cubic meters?
Ungesema 320 ningejua umekosea badala ya square meters, lakini 387 halafu 20 kwa 16!!!
Dalili za utapeli...
200m seriously?
Hela ya karanga hiyo Dr......ngoja niende Brazil.......nikirudi nakupatia.......utanilipa ukipata.......sawa Dr......chukua muwanja huo.......
Yeah,Elimu ya Shule za kata, siyo kosa lake ni kosa la Serikali ya CCM kuwanyima watu wake elimu nzuri! Kiwanja kina Cubic Meter!
Yeah,
Urefu x Upana x Kwenda Juu
Ebu edit hiyo heading...