Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,156
- 55,653
Kijana ishi kama kijana,umri unakimbia kama magurudumu ya gari, kumbuka huwezi kurudi kuwa kijana.Ni aibu kijana kuishi maisha au mitazamo ya kizee,je ukiwa mzee utafanyaje?Ndio wale wakifika uzeeni wanaanza kuutamani ujana.Kwa sasa ishi kama kijana,kuwa smart,tafuta fursa,tafuta mpenzi,akili iwe smart n.k