Kijana, don't settle with your agemate

😃kijana nimekuchapa like
 
Naunga mkono hoja, mtoto wa kike piga gap hata miaka kuanzia 17 kwenda juu , but lolote ila laweza tokea. Havieleweki hivi vijimambo
Jason stathan miaka 58,yupo na girlfriend wake mwenye miaka 38. Wameeanza mahusiano yao miaka 10 iliyopita. Mwanaume kwenye maisha yako weka vizuri vipengere vya finance na fitness. Miaka 40 unanyakua binti wa miaka 20 vizuri kabisa.
 

Attachments

  • IMG_20260314_171515.jpg
    76.2 KB · Views: 2
hivi kwani kuna kanuni moja ya mapenzi inayofanya kazi kwa watu wote? 🤔

Watu wawili ambao ni adults, wakikubaliana kwa akili zao timamu kuishi kimapenzi (romantic love) inatosha sana.
Mengine tuwaachie wapenzi wenyewe (watacompare opinions na ushauri tofauti tofauti kisha maamuzi yao tutawaachia wenyewe)

Mahusiano ni mkataba, wawili wakikubaliana, sisi wengine tuwapongeze bila kujali age range yao, as long as wapo above 20 yrs of age.
 
Ujumbe wako Upo sahihi ila kumtolea mfano riyana umepuyanga pesa zipo yule hazeeki kizembe.

Kuna dogo nimempiga gape la miaka 10 aisee yeye wa 2006 hapa nainjoy maisha,anajua mimi nina 23.
Vigezo vinavyompa thamani mwanamke kwenye dating pool ni purity na loyalty sio pesa.

Rihana ana pesa nyingi zaidi ya tyler lakini uwaweke sokoni kwenye dating pool sasa hivi, soko la tyler lipo juu
 
Kwa haya madini nitatembeza like kwa kila mtu😀.
Na mimi ngoja niongezee kaushauri kidogo kwa wanaume wote,
Jitahidi kufanye mazoezi ili mwili uendane na umri wako, Wenye miili mikubwa watakua wamenielewa maana mtaani wanaonekana ni wakubwa kuliko umri wao.
 
Kuna factors ambazo zinachangia ufanyaji maamuzi mfano uzoefu, mentorship, exposure n.k. Wapo wengi wanafanya maamuzi bila kuwa na taarifa au maarifa sahihi na kuja kugundua makosa baadae wakiwa washapoteza hela, heshima au hadhi.

Kwahiyo suala sio kufanya maamuzi suala ni huyo mfanya maamuzi ana uzoefu na ujuzi? hapo ndipo nasaa za wakubwa zinahitajika. Teach young people early, what you learn late.
 
Vipi, unampa ushauri gani EMMANUEL MACRON na mkewe BRIGITTE MARIE-CLAUDE MACRON.?

Emmanuel MACRON, kazaliwa December 1977, na mkewe BRIGITTE kazaliwa April 1953.
(wakati Emanuel anazaliwa, Brigitte alikuwa na umri wa miaka 24)


NB: Emmanuel Macron, ni Rais wa sasa (2017-present) wa Ufaransa.
 
Jason stathan miaka 58,yupo na girlfriend wake mwenye miaka 38. Wameeanza mahusiano yao miaka 10 iliyopita. Mwanaume kwenye maisha yako weka vizuri vipengere vya finance na fitness. Miaka 40 unanyakua binti wa miaka 20 vizuri kabisa.
Naunga mkono hoja, uzuri sie hatuzeeki maini hata ukimuacha binti miaka 30 bado fresh
 
Picha niliyotumia ni ya ndio picha ya sasa ambayo inazunguka mitamdaoni na rihana kajifungua mtoto wake wa mwisho miaka miwili iliyopita.

Ni kweli uzazi ni moja ya factor inafanya wanawake kubadilika na kuonekana wamama zaidi. Kwahiyo kama unaona hiyo inaweza ikaleta utata kidogo then chagua dogodogo kama nilivyoshauri
 
Mke wangu alikuwa ni pisi ya kwenda yaani huyo Rihana changanya na manzi mwingine mkali unayemjua. Mtoto wa kwanza wa pili mafuta yakaanza akapata ka kitambi flani hivi sema tu yuko na salio anabalance equation yaani na vile sipendi vitambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…