Kijana, don't settle with your agemate

Kama umemuelewa Jamaa vizuri ni kuwa Rihanna wa sasa Hana tena Ile attraction ya Kuvutia high end Men,

Lakini pia hata mwanamke mwili wake ubadilike vipi still inatakiwa Kwenye Prime yake iwe wewe ndio Main character,

Make sure she chose you during her prime, sio eti at 30+ ndio ajilete Kwake baada ya kuchezewa Sana Kwenye 20-25

Don't be that guy
 
Huu mwandiko kama yule mzee wa tiktok ambaye huwa anaendesha content akiwa amekaa kwenye kiti
 
Umenena vyema,tatizo Ukiwa Bado kijana, Kila kitu unafanya unajua na uko sahihi,huja Majuto jua limezama!
 
Mkuu Natafuta Ajira ajira nimesoma baadhi ya nyuzi zako.Asilimia kubwa zinazungumzwa code za mahusiano na namna ya kudeal na wanawake.Japo wanasema hayana formula ila nondo zako zinatosha kwa mtu mwenye akili timamu kujipanga kabla ya kuingia kwenye mahusiano na vitu vya kutegemea.
Itoshe kusema una madini sana mkuu. Big up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…