Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,055
Miaka 25-35 ni kipindi kigumu sana kwa kijana wa kiume. Ndio mambo mengi yapo hapo. Maisha na mapenzi.
Ndio kipindi ambacho hata mwili unahitaji zaidi na unaweza kumudu vizuri tendo la kujamiiana. Hata ndoa nyingi hufungwa katika kipindi hicho.
Mfano kwa hapa Tanzania, kundi kubwa la vijana, inaweza kufika hata 80% wapo kwenye harakati za kufanya maendeleo na kujijenga kimaisha. Kuchelewa kulala na kuwahi kuamka ni kawaida sana. Wanawezaje kuwa active kwenye tendo?
Hata wadada wapambanaji nao ni wahanga katika hili. Uvumilivu unahitajika kwa pande zote.
Haishangazi kuona vijana ndio wateja wakubwa wa dawa za kuongeza nguvu za kiume, kutunisha misuli n.k. Wa kike nao kuwa watumiaji wazuri wa njia mbadala za kujiridhisha kimwili.
Vijana wa vijijini habari zenu tunazo. Hapa hamuhusiki. Tulieni!