Kijana anatafuta kazi, yupo Morogoro

Kijana anatafuta kazi, yupo Morogoro

Joined
Jan 24, 2017
Posts
7
Reaction score
8
Kijana wa kiume mkazi wa mjini morogoro, ana elimu ya kidato cha sita anatafuta kazi yoyote halali.
Msaada wenu wadau wa jf ili kijana aweze kufanikiwa.

Anapatikana kupitia namba 0627120884
 
Kazi yoyote halali ndio kazi gani hiyo?
 
Anichomee chips hapo msamv...mshahara elf 50.
Anaweza??
 
Mbona Morogoro kuna Ardhi nzuri sana ajira ya nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom