Habari, anahitajika kijana anaweza kufanya Kazi zifuatzo kwa pamoja...
Kuuza Viatu, na mishkak wkati wa jioni...eneo ni Moro mjini....
Just PM me
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka Kazi au correlation??Mbona kazi hazina correlation kabisa?
Hahaha hapo ndo utata ulipo, chakula na viatu eneo moja na muuzaji mmoja!Mbona kazi hazina correlation kabisa?
Kuelewa nako ni muhimu before hujacomment....rudia kusoma utaelewa, usikurupuke! Nmesema mishkak ni jioni....i meant nyt n not at the same place....NB: what u think u can't other can!Hahaha hapo ndo utata ulipo, chakula na viatu eneo moja na muuzaji mmoja!
Labda anataka wawili maana si rahisi mtaa wa viatu uingize biashara ya chakula.
brain is the beautiful part of the body.
Pole mkuu nahisi umepanic!Kuelewa nako ni muhimu before hujacomment....rudia kusoma utaelewa, usikurupuke! Nmesema mishkak ni jioni....i meant nyt n not at the same place....NB: what u think u can't other can!
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari, anahitajika kijana anaweza kufanya Kazi zifuatzo kwa pamoja...
Kuuza Viatu, na mishkak wkati wa jioni...eneo ni Moro mjini....
Just PM me
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari, anahitajika kijana anaweza kufanya Kazi zifuatzo kwa pamoja kuuza Viatu, na mishikaki wakati wa jioni eneo ni Moro mjini.
Just PM me
Sent using Jamii Forums mobile app
Heading na content haziendani.Habari, anahitajika kijana anaweza kufanya Kazi zifuatzo kwa pamoja kuuza Viatu, na mishikaki wakati wa jioni eneo ni Moro mjini.
Just PM me
Sent using Jamii Forums mobile app
Itigi piaKama ni hapo maeneo ya ' Kahumba ' tegemea kupokea maombi yetu mengi Mkuu.