Kijana amua leo usingoje kesho

Unawapa ushauri hao vijana wa Tz ambao wana degree za mzumbe na udsm wakalime,wanakuona kichaa wenzako wanawaza wakafanye kazi TRA,Bot ect
 
Hongera sana tata Frank!


Nimemiss hustles zako enzi hizo TAEA!

GOODLUCK MURAAAA
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu mwema, nikipita pande za Tarime nitakutafuta still nina namba yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1)Ufugaji
2)kilimo
3)Online startup
4)Forex

Biashara ambazo inabidi uhakikishe kwasiku unaingiza at least 50K ndio uzianze mbali na hapo una 80% yakuja kulaumu watu zinafaida kubawa ila ya uvumilivu na changamoto.

Portfolio | 2020
Chief naomba uni-brief hiyo namba tatu bado sijaielewa
 

yaani umeshapanda ndio unaomba ushauri mkuu!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…