Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,443
- 1,643
Inspiration speaker ukiwaambia ufugaji wa kuku wanachekelea maana wamepiga watu hela ndefu kuwauzia madawa feki na tozo la kiingilio. Kiukweli ufugaji wa kuku haulipi kirahisi kama watu wanavyoaminishwa. Gharama za ujenzi wa mabanda, chakula na madawa na baadaye kupata soko la kurudisha hela yako ni sifuri utaishia kuchaganyikiwa na kupoteza mtaji. Hiii inatokana uzoefu wangu!
1)UfugajiInspiration speaker ukiwaambia ufugaji wa kuku wanachekelea maana wamepiga watu hela ndefu kuwauzia madawa feki na tozo la kiingilio. Kiukweli ufugaji wa kuku haulipi kirahisi kama watu wanavyoaminishwa. Gharama za ujenzi wa mabanda, chakula na madawa na baadaye kupata soko la kurudisha hela yako ni sifuri utaishia kuchaganyikiwa na kupoteza mtaji. Hiii inatokana uzoefu wangu!
You have something in your brain bro & i real appreciate you #peaceout1)Ufugaji
2)kilimo
3)Online startup
4)Forex
Biashara ambazo inabidi uhakikishe kwasiku unaingiza at least 50K ndio uzianze mbali na hapo una 80% yakuja kulaumu watu zinafaida kubawa ila ya uvumilivu na changamoto.
Portfolio | 2020
I Clown You.You have something in your brain bro & i real appreciate you #peaceout
Hakuna kazi isiyo na changamoto cha msingi ni namna ya kutatua changamotoInspiration speaker ukiwaambia ufugaji wa kuku wanachekelea maana wamepiga watu hela ndefu kuwauzia madawa feki na tozo la kiingilio. Kiukweli ufugaji wa kuku haulipi kirahisi kama watu wanavyoaminishwa. Gharama za ujenzi wa mabanda, chakula na madawa na baadaye kupata soko la kurudisha hela yako ni sifuri utaishia kuchaganyikiwa na kupoteza mtaji. Hiii inatokana uzoefu wangu!
Hasa hapo namba 4 kuna tatizo kubwa kwa wengi1)Ufugaji
2)kilimo
3)Online startup
4)Forex
Biashara ambazo inabidi uhakikishe kwasiku unaingiza at least 50K ndio uzianze mbali na hapo una 80% yakuja kulaumu watu zinafaida kubawa ila ya uvumilivu na changamoto.
Portfolio | 2020
Kijana amua leo na ukate shauri ingia pori, jichukulie kaeneo kako anza kulima mdogo mdogo. Kuna raha sana ukiwa mkulima alafu msomi.
Usiogope changamoto huwa zipo tu hata maofisini. Uchawi uliopo maofisini hata huku kwenye kilimo upo mzee. Kupanda, kuotesha, kuvuna mpaka kuuza ni uchawi tu kama vile watu maofisini kuomba kazi analoga, interview analoga, akipata kazi analoga, mishahara ya wengine inalogwa ilimradi aone wenzie hawafanikiwi. Wewe njoo na tumaini lako kwa Mungu mbona utatoboa mzee baba.
Hakuna raha hapa duniani kama kuwa mkulima msomi utaishi upendavyo mzee baba.
Njooni tulime mapori hapa bongo ni mengi sana na hayana mwenyewe. Yana rutuba hatari.
NB
Huku porini utapata wanyama wa ziada kama digi digi na nguruwe pori kuna vya kufaidi vijana.
Karibu.
Hongera sana, kila mtu atakula kwa jasho lake...Nimeingia shambani mwenyewe
Hii wiki nzima nafyeka vichaka na nyasi ndefu kwa ajili ya kuwa tayari kulima kwa trekta!
Hadi sasa tumemaliza hekari zaidi ya Mbili na Nusu.
Nipo na wadogo zangu wawili.
tunaamkia shambani kufyeka saa 12 Asubuhi hadi saa 3 Asubuhi
Then tunarudi kupumzika na kupata chochote then tunarudi saa 10 Jioni hadi 12 Jioni.
Wote mikono ilipata shida sana coz ni zoezi gumu sana, hivyo hata kula ikawa kila mikono ikigusa tu maji basi maumivu ni makali mno ila hadi Leo imezoea na kupona!
Eneo ni kubwa sana na lina chanzo cha maji.
Ni mara yetu ya kwanza kujaribu kilimo but tulikubaliana kuwa tutawapa watu kazi ya kulima but hii ya kufyeka vichaka, misitu inabidi tuifanye wenyewe kwa mikono yetu ili kuona thamani ya kile tunachokifanya kwa nguvu zetu, Jasho letu na kwa mikono yetu!
Mungu atubariki ktk hili na awabariki wote mnaofikiria kuingia ktk zoezi Kama hili kwa nguvu zenu, mikono yenu na jasho lenu pia!
Kiukweli hili letu litakuwa pia shamba darasa coz Elimu wote tunayo but ni shauku yetu ktk hili!
Mungu awabariki na msiache kutuombea Kama sisi nasi tuwaombeavyo!View attachment 1366115
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimeingia shambani mwenyewe

Vipi hilo shamba ukilima huna viwatilifu au pembejeo vinakuja automaticKijana amua leo na ukate shauri ingia pori, jichukulie kaeneo kako anza kulima mdogo mdogo. Kuna raha sana ukiwa mkulima alafu msomi.
Usiogope changamoto huwa zipo tu hata maofisini. Uchawi uliopo maofisini hata huku kwenye kilimo upo mzee. Kupanda, kuotesha, kuvuna mpaka kuuza ni uchawi tu kama vile watu maofisini kuomba kazi analoga, interview analoga, akipata kazi analoga, mishahara ya wengine inalogwa ilimradi aone wenzie hawafanikiwi. Wewe njoo na tumaini lako kwa Mungu mbona utatoboa mzee baba.
Hakuna raha hapa duniani kama kuwa mkulima msomi utaishi upendavyo mzee baba.
Njooni tulime mapori hapa bongo ni mengi sana na hayana mwenyewe. Yana rutuba hatari.
NB
Huku porini utapata wanyama wa ziada kama digi digi na nguruwe pori kuna vya kufaidi vijana.
Karibu.
True, hata mimi nafuga, mwezi wa nane nilikuwa na kuku 200 mvua zilivyozidi sababu ya baridi kuku walikufa 120.nkabakiwa na kuku 80😭😭Inspiration speaker ukiwaambia ufugaji wa kuku wanachekelea maana wamepiga watu hela ndefu kuwauzia madawa feki na tozo la kiingilio. Kiukweli ufugaji wa kuku haulipi kirahisi kama watu wanavyoaminishwa. Gharama za ujenzi wa mabanda, chakula na madawa na baadaye kupata soko la kurudisha hela yako ni sifuri utaishia kuchaganyikiwa na kupoteza mtaji. Hiii inatokana uzoefu wangu!