Kiiza Besigye Kizuizini

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,368
2,890
1
CbgopQQUUAAeppl.jpg
 
Katika watu ving'ang'anizi duniani huyu ni balaa!! Kwani kama ni mateso ya vipigo vilishakuwa ni sehemu ya maisha yake!! Kinachomsaidia ana sura ya kikamanda kweli hata kama evimba huwezi jua. Na pale uganda bwana. Mseveni labda aje aamue tu kuachia madaraka mwenyewe tu kwani hata kura zisipotosha zitatosherezwa tu. Africa bwana
 
Trump alishawapa onyo, ngoja aje aingie azigeuze hiz nchi ving'ang'anizi kama libya. Viongozi wa Africa hamna kitu.
 
Katika watu ving'ang'anizi duniani huyu ni balaa!! Kwani kama ni mateso ya vipigo vilishakuwa ni sehemu ya maisha yake!! Kinachomsaidia ana sura ya kikamanda kweli hata kama evimba huwezi jua. Na pale uganda bwana. Mseveni labda aje aamue tu kuachia madaraka mwenyewe tu kwani hata kura zisipotosha zitatosherezwa tu. Africa bwana
hivi museven aliingiaje vile?
 
Back
Top Bottom