Kiinua mgongo cha mwalimu

yenyewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
621
Reaction score
94
Wakuu naomba kufahamishwa kiinua mgongo cha mwalimu wa shule ya msingi ya serikali huwa ni kiasi gani.
Asanteni.
 
Wakuu naomba kufahamishwa kiinua mgongo cha mwalimu wa shule ya msingi ya serikali huwa ni kiasi gani.
Asanteni.
Ni cha kawaida sana, sana sana utaishia kununua kiwanja na utajenga nyumba itaishia kwenye rentor lol.
 
Hakuna kiinua mgongo ambacho ni fixed....siku zote kiinua mgongo kinakuwa calculated kutokana na mshahara unaoupata wakati unastaafu
 
Reactions: SG8
umeua mkuu...

Mkuu inatia hasira,mtu mwenyewe failure hata hiyo nafasi ya ualimu hajui kama ataipata halafu anaulizia kiinua mgongo wakati hata mshahara hajui ni sh. Ngapi..
Dunia ya leo mtu bado anayewaza kuajiriwa ili aje apate kiinua mgongo baada ya kufikisha miaka 60 hana tofauti na maiti
 
Kuna ndugu yangu anataka kusoma ualimu. Tunataka kucompare na fani nyingine
Unapigia hesabu mambo ya miaka 30?.

dunia itakua tofauti sana na ya leo,pengine watakua wamegundua dawa ya uzee na hivyo hakutakua na kustaafu.
 
Inategemea.... juzi kat kuna aliye staff kala kama 70 m.... kuna wanao fikisha 100m... inategemea na umri wako kazini na elimu yako.
 

Hauko sahihi mkuu. Kisa anataka kusoma ualimu ndo unasema ni failure?? Umejuaje kama hajui hiyo nafasi hataipata??
Usitake kuwa mjuaji!!
 
Unapigia hesabu mambo ya miaka 30?.

dunia itakua tofauti sana na ya leo,pengine watakua wamegundua dawa ya uzee na hivyo hakutakua na kustaafu.

Tuna assume mambo yatakuwa kama sasa
 
Inategemea.... juzi kat kuna aliye staff kala kama 70 m.... kuna wanao fikisha 100m... inategemea na umri wako kazini na elimu yako.

Nimekuelewa kiongozi
 
Kuna ndugu yangu anataka kusoma ualimu. Tunataka kucompare na fani nyingine

Mambo mengine kujazina nafasi na kutumalizia mb 8 zetu! Mtu ndio Kwanza anawaza kwenda shule, lakini unauliza retirement benefits! Hivi hata ukijua leo hicho kiasi tambua huyo mtu ana safari ya miaka zaidi ya 30 hadi kustaafu, unadhani hakutakuwa na mabadiliko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…