Tayari TANMO ameijibu hapo chini.hio ya did you saw mbona iko correct?,au na mie nikapige msasa chiinglish changu?lol
siyo sahihi Neema, sahihi ni did + present tense (do, go, see, talk, say. etc)
Cantalisia, Kiingereza utata mtupu. Haya mambo ya regular na irregular verbs sijui wameyapata wapi.Kingilish ni noma aisee,hakuna wakati kilinitesa km wakati wa presenatation pale chuo ukichanganya na ile hofu mara nyingi nilikua nachanganya tenses mgogoro ulikua kwenye matumiz ya did,do na done!
Morning ricky..
Happy "Speak English" Day!
@mammamia
jana nilikuwa kwenye dhifa ya kitaifa ya kampuni moja
mara mzito wa akawa anatumia maneno kama
I eated . . .
I seated . . .
Mie nikabaki nashangaa tu, huku nimekata kauli kabisa
God forbid
wengine mtatu-mute kama tumekunywa juisi ya supagluu
hihhihiiiiiiiiiiii hapo nahisi ulishika mdomo....
@mammamia
jana nilikuwa kwenye dhifa ya kitaifa ya kampuni moja
mara mzito wa akawa anatumia maneno kama
I eated . . .
I seated . . .
Mie nikabaki nashangaa tu, huku nimekata kauli kabisa
Aah, Kongosho wewe! Ulipokata kauli hawakukuitia ambulance?
nilikata kauli ya maneno, nikafungulia ya misosi.
Sijui T-bone, mara chicken breast
sijui butter nan, akhah, nikawa bize na msosi kuliko hai tebo.
@mammamia
jana nilikuwa kwenye dhifa ya kitaifa ya kampuni moja
mara mzito wa akawa anatumia maneno kama
I eated . . .
I seated . . .
Mie nikabaki nashangaa tu, huku nimekata kauli kabisa
Hivi ukiambiwa how do you do?unajibu vip wajamen,,
Strangely enough unajibu how do you do! Better ujibu /i'am good, how are you?
"If I saw Juma I would have been very happy"Kiingereza chenye kutumia maneno kwa mfano 'kama ningemwona Juma ningefurahi sana' - 'if i could have seen Juma, i could have been very happy' kilikuwa kinanishinda kiasi kwamba nikawa nakwepa kujijengea mazingira ya kuyatumia hayo maneno kabisa..
1 kutofautisha neema na musa ka ni wachumba au ndugu nilikuwa sijui kiingere.
2 Siku nipo kidato cha 5 kitu geography najib swali kitu badala ya layers nkatupia kitu lairs sikujb swal tena mpk namaliza cha 6.
3 question tag ilikuwa i am walking mi nikajibu amn't i? Nlipewa konz na mwalimu uhuchu loh!
4 she took a book nkajib tookn't she?