Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
lmao!..inglish ni kama usista na upadri ati...wito!
Teh unaweza ukalazimisha hadi ukaupata wito....ila kitu km hukitumii mara nyingi lazma kiwe mgogoro
lmao!..inglish ni kama usista na upadri ati...wito!
lmao!..inglish ni kama usista na upadri ati...wito!
lmao!..inglish ni kama usista na upadri ati...wito!
Kingilish ni noma aisee,hakuna wakati kilinitesa km wakati wa presenatation pale chuo ukichanganya na ile hofu mara nyingi nilikua nachanganya tenses mgogoro ulikua kwenye matumiz ya did,do na done!
Kweli kazi ipo..
wapi sasa???umekosea kidooogo tu.
wapi sasa??? kumbuka hayo ni tofauti na yana maana tofautumekosea kidooogo tu.
Hahahaha hahahah,he he he, did you done Reajao?
Are did with rejao?
Are you do rejao?
he he he, did you done Reajao?
Are did with rejao?
Are you do rejao?
Hahahahaaaa naona mchungaji kaja na jipya...inabidi tumtafute Jane000 aje wajumuike..tehMorning ricky..
Happy "Speak English" Day!
Hahahahaaaa naona mchungaji kaja na jipya...inabidi tumtafute Jane000 aje wajumuike..teh
Hahahahahaaaa aisee wale jamaa wanajuana teh inabidi wakutane wayamalize tu maana si hatuna la kusema.....jane000 ugomvi wake na yang masta tu hii thread angeianzisha yang masta mbona kingeeleweka leo..
Psychology!!
Spelling tofauti ,matamshi sawa
sin/scene
floor/flow . Sometimes i wonder why english words are not written as they sound. Mfano
foto/photo
naiv/knife
thru/through
nite/night