JOESKY JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 823 Reaction score 2,044 Jan 28, 2021 #1 Kuna baadhi ya majina ya vyakula hayapo wazi kwa lugha ya kiingereza kiasi kwamba ukiulizwa kwa kushitukizwa huwezi ukajua ujibu nini. kwa mfano Ugali Unaweza ukaongezea mifano mingine hapo china na majina yake kwa kiingereza
Kuna baadhi ya majina ya vyakula hayapo wazi kwa lugha ya kiingereza kiasi kwamba ukiulizwa kwa kushitukizwa huwezi ukajua ujibu nini. kwa mfano Ugali Unaweza ukaongezea mifano mingine hapo china na majina yake kwa kiingereza
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,945 Jan 29, 2021 #2 JOESKY said: Kuna baadhi ya majina ya vyakula hayapo wazi kwa lugha ya kiingereza kiasi kwamba ukiulizwa kwa kushitukizwa huwezi ukajua ujibu nini. kwa mfano Ugali Unaweza ukaongezea mifano mingine hapo china na majina yake kwa kiingereza Click to expand... Stiff porridge= Ugali.
JOESKY said: Kuna baadhi ya majina ya vyakula hayapo wazi kwa lugha ya kiingereza kiasi kwamba ukiulizwa kwa kushitukizwa huwezi ukajua ujibu nini. kwa mfano Ugali Unaweza ukaongezea mifano mingine hapo china na majina yake kwa kiingereza Click to expand... Stiff porridge= Ugali.
Tanayzer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 3,005 Reaction score 7,384 Jan 29, 2021 #3 mbona ugali unaitwa stiff poridge mkuu, sema hata wanaotumia kiingereza wanapenda taja ugali kuliko stiff poridge.
mbona ugali unaitwa stiff poridge mkuu, sema hata wanaotumia kiingereza wanapenda taja ugali kuliko stiff poridge.
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,738 Reaction score 11,644 Jan 30, 2021 #4 JOESKY said: Kuna baadhi ya majina ya vyakula hayapo wazi kwa lugha ya kiingereza kiasi kwamba ukiulizwa kwa kushitukizwa huwezi ukajua ujibu nini. kwa mfano Ugali Unaweza ukaongezea mifano mingine hapo china na majina yake kwa kiingereza Click to expand... Hawapiki ugali
JOESKY said: Kuna baadhi ya majina ya vyakula hayapo wazi kwa lugha ya kiingereza kiasi kwamba ukiulizwa kwa kushitukizwa huwezi ukajua ujibu nini. kwa mfano Ugali Unaweza ukaongezea mifano mingine hapo china na majina yake kwa kiingereza Click to expand... Hawapiki ugali
JOESKY JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 823 Reaction score 2,044 Feb 1, 2021 Thread starter #6 Auz said: Hawapiki ugali Click to expand... Mkuu acha utani πππ kwanini wasipike ugali?
JOESKY JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 823 Reaction score 2,044 Feb 1, 2021 Thread starter #7 B Pabloz said: Mbege Click to expand... e serious bro I need to know
JOESKY JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 823 Reaction score 2,044 Feb 1, 2021 Thread starter #8 Tanayzer said: mbona ugali unaitwa stiff poridge mkuu, sema hata wanaotumia kiingereza wanapenda taja ugali kuliko stiff poridge. Click to expand... Asante sana mkuu
Tanayzer said: mbona ugali unaitwa stiff poridge mkuu, sema hata wanaotumia kiingereza wanapenda taja ugali kuliko stiff poridge. Click to expand... Asante sana mkuu
JOESKY JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 823 Reaction score 2,044 Feb 1, 2021 Thread starter #9 Than Mokaze said: Stiff porridge= Ugali. Click to expand... Thank you so much
Jimmy31 Member Joined Jan 6, 2021 Posts 27 Reaction score 13 Feb 9, 2021 #10 Mokaze said: Stiff porridge= Ugali. Click to expand... Chapati in english
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,945 Feb 9, 2021 #11 Jimmy31 said: Chapati in english Click to expand... Flatbread.