Kiingereza ni janga la Dunia!

Hahahahaaa...hizo mbili za mwisho ni nomaaaa....
 
Hiyo lugha ni ngumu kama kibogoyo kutafuna mawe.
 
Hiyo ya erection in progress ni sahihi...kwenye civil engineering huwa tunasema " project erection stage" wakati wa ujenzi or implementation
 
kaaaaaaaaa,hapa sasa ndio ujue ugumu wa lugha ya malkia,hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
mbavu zangu hali ngumu hadi nimekumbuka kiinglish cha fomu wani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…