Idiot Embicile
JF-Expert Member
- Apr 30, 2019
- 1,037
- 1,981
Duuh kweli Lugha hii imekuwa balaa kwetu siku zote, kwa nini lakini?. Bora wangeandika kiswahili tu maana kimekubalika Ki SADCKiingereza Cha Wabongo kwenye maandamano.
"STRUGG" instead of "STRUGGLE"
"You fill proud" instead of "you feel proud"View attachment 1192238
Wakiambiwa imekuja kwa meli hawaelewi.Duuh kweli Lugha hii imekuwa balaa kwetu siku zote, kwa nini lakini?. Bora wangeandika kiswahili tu maana kimekubalika Ki SADC
hili bango wamepewa ofisi ya pale Ilala Bomani.Kiingereza Cha Wabongo kwenye maandamano.
"STRUGG" instead of "STRUGGLE"
"YOU FILL PROUD" instead of "YOU FEEL PROUD"View attachment 1192238
God have mercy on us
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] IndeedGod have mercy on us
Duh! Hao waofisi inabidi wakaguliwe vyeti[emoji23][emoji23]hili bango wamepewa ofisi ya pale Ilala Bomani.
Zero haijawahi kuleta matokeo chanyaKiingereza Cha Wabongo kwenye maandamano.
"STRUGG" instead of "STRUGGLE"
"YOU FILL PROUD" instead of "YOU FEEL PROUD"View attachment 1192238
Kiingereza Cha Wabongo kwenye maandamano.
"STRUGG" instead of "STRUGGLE"
"YOU FILL PROUD" instead of "YOU FEEL PROUD"View attachment 1192238
Punguani weweVyovyote iwavyo, Walioandamana wameonyeesha hisia za Uzalendo na Uchungu tulionao kwa Unafiki wa Serikali ya Ramaphosa.
Msijifanye mnajua sana Kiingereza humu jamvini kumbe you just use 'Is and was English' ***** zenu mxiuuuuuu.
Hao hao Wasauz maneno mawili ya Kiswahili hawayajui Mitambo wanaitwa Mitombo, Afrika ya Kusini Wanaita AFRIKA YA KUZINI.
Tulieni Dawa iwangie timu Kivuruge yule aliyekuwa anawapa bando za Matusi humu Bw.Kaflag yuko Segerea.
Wewe ni Punga tu kama siyo bwabwa.Punguani wewe