M Mchigondo Member Joined Jul 10, 2021 Posts 99 Reaction score 137 Apr 19, 2022 #401 ABLE04 said: Ukiwa haumpendi mtu utatafuta sababu tu....watanzania wachache sana wanaoongea kiingereza kwa ufasaha. Mwamba unajitahidi sana kumkosoa bimkubwa. Click to expand... Sio Watanzania tu bali Waafrika wachache na wengineo wanaoweza kuongea vizuri lugha za kigeni.
ABLE04 said: Ukiwa haumpendi mtu utatafuta sababu tu....watanzania wachache sana wanaoongea kiingereza kwa ufasaha. Mwamba unajitahidi sana kumkosoa bimkubwa. Click to expand... Sio Watanzania tu bali Waafrika wachache na wengineo wanaoweza kuongea vizuri lugha za kigeni.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Apr 19, 2022 #402 Roho mbaya tu, mama kafanya vzuri kabisa. Ngosha angweza hapo?
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 21,709 Reaction score 51,135 Apr 20, 2022 #403 Itoshe kusema tu"hii nchi Uhuru umezidi.
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 38,650 Reaction score 49,076 Apr 20, 2022 #404 Kwahiyo Tanzania tunakuwa matajiri kwakua kiongozi wetu kaongea kingereza. Matatizo yetu hakuna tena.
Kwahiyo Tanzania tunakuwa matajiri kwakua kiongozi wetu kaongea kingereza. Matatizo yetu hakuna tena.
Z zandrano JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 8,416 Reaction score 9,324 Apr 20, 2022 #405 Lazima tuienzi Lughqa yetu adhimu ya Kiswahili......Kizungu ni Lugha yetu ya 2 ya mawasiliano hivyo sio lazima sana kuizungumza kwa ufasaha.
Lazima tuienzi Lughqa yetu adhimu ya Kiswahili......Kizungu ni Lugha yetu ya 2 ya mawasiliano hivyo sio lazima sana kuizungumza kwa ufasaha.
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,948 Apr 20, 2022 #406 Jp Omuga said: Kukosa utulivu wa akili! Click to expand... Ni tusi hilo !!
Kindeena JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 11,911 Reaction score 21,931 Apr 20, 2022 #407 Huyo Kamala Haris anakijua Kiswahili? Je, nalo kwake ni aibu? Je, Kamala kalalamika kwamba hajamuelewa Samia, au ni mikono inawawasha kuandika ujinga?
Huyo Kamala Haris anakijua Kiswahili? Je, nalo kwake ni aibu? Je, Kamala kalalamika kwamba hajamuelewa Samia, au ni mikono inawawasha kuandika ujinga?
Mfikirishi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 10,460 Reaction score 12,197 Apr 20, 2022 #408 Mokaze said: Ni tusi hilo !! Click to expand... Ushawahi kusikia kuhusu ADHD??
J Justard zelphine JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 461 Reaction score 278 Apr 20, 2022 #409 Dan Zwangendaba said: Kulima sio kufanya kazi? Huu msemo maana yake nini hasa! Click to expand... Misemo isiyo na tija!, kaulize kama kilimo sio ajira!!!
Dan Zwangendaba said: Kulima sio kufanya kazi? Huu msemo maana yake nini hasa! Click to expand... Misemo isiyo na tija!, kaulize kama kilimo sio ajira!!!
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 35,830 Reaction score 47,150 Apr 20, 2022 #410 Nyani Ngabu said: Kuna watu wanaumia sana Samia akisemwa, akikosolewa! Magu alisemwa, alikosolewa sana na bado anasemwa na watu mnafurahia. Mtaumia sana….Samia atasemwa sana tu. Click to expand... Kazana Sana kumsema, maana ndicho mlichobakiwa nacho.
Nyani Ngabu said: Kuna watu wanaumia sana Samia akisemwa, akikosolewa! Magu alisemwa, alikosolewa sana na bado anasemwa na watu mnafurahia. Mtaumia sana….Samia atasemwa sana tu. Click to expand... Kazana Sana kumsema, maana ndicho mlichobakiwa nacho.
G Gagnija Platinum Member Joined Apr 28, 2006 Posts 13,396 Reaction score 13,803 Apr 20, 2022 #411 FaizaFoxy said: Roho mbaya tu, mama kafanya vzuri kabisa. Ngosha angweza hapo? Click to expand... Anna Rose angefanya vizuri zaidi 😆😆
FaizaFoxy said: Roho mbaya tu, mama kafanya vzuri kabisa. Ngosha angweza hapo? Click to expand... Anna Rose angefanya vizuri zaidi 😆😆
GODZILLA JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 5,909 Reaction score 10,562 Apr 20, 2022 #412 Hilo limama halijui Kizungu. Wanalisifia tu ili kuficha aibu.
N notkel004 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2016 Posts 525 Reaction score 378 Apr 20, 2022 #413 Nyani Ngabu said: Hapana. Fluency haihusiani na kusoma vilivyoandikwa. Ni kwamba hana lafudhi nzito/ nene. Hicho ndicho kinachomfanya aonekane ana afadhali. Lakini maneno mengi sana yanampa shida kuyatamka. Hata yale maneno ya kawaida ya hiyo lugha hawezi kuyatamka vizuri. Ukimwandikia neno kama ‘xylophone’ au ‘discombobulation’, anaweza kupoteza fahamu akijaribu kuyatamka. Click to expand... 😂 😂 😂 😂 Khaaa!!!
Nyani Ngabu said: Hapana. Fluency haihusiani na kusoma vilivyoandikwa. Ni kwamba hana lafudhi nzito/ nene. Hicho ndicho kinachomfanya aonekane ana afadhali. Lakini maneno mengi sana yanampa shida kuyatamka. Hata yale maneno ya kawaida ya hiyo lugha hawezi kuyatamka vizuri. Ukimwandikia neno kama ‘xylophone’ au ‘discombobulation’, anaweza kupoteza fahamu akijaribu kuyatamka. Click to expand... 😂 😂 😂 😂 Khaaa!!!
N notkel004 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2016 Posts 525 Reaction score 378 Apr 20, 2022 #414 Nyani Ngabu said: Na bodaboda anaendesha? Click to expand... 😂 😂😂 boda za mchongo
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,729 Reaction score 34,830 Apr 20, 2022 #415 FaizaFoxy said: Roho mbaya tu, mama kafanya vzuri kabisa. Ngosha angweza hapo? Click to expand... Bado una bifu na Ngosha!?
FaizaFoxy said: Roho mbaya tu, mama kafanya vzuri kabisa. Ngosha angweza hapo? Click to expand... Bado una bifu na Ngosha!?
Political stability JF-Expert Member Joined Apr 7, 2021 Posts 905 Reaction score 1,410 Apr 20, 2022 #416 Automata said: Kizungu atakijua wapi na ilmu yake yakuunga unga Click to expand... Maisha ya ajabu sana, mwenye elimu ya kuunga unga ndio rais wa nchi, ila wewe uliye nyooka , ohehae
Automata said: Kizungu atakijua wapi na ilmu yake yakuunga unga Click to expand... Maisha ya ajabu sana, mwenye elimu ya kuunga unga ndio rais wa nchi, ila wewe uliye nyooka , ohehae
Political stability JF-Expert Member Joined Apr 7, 2021 Posts 905 Reaction score 1,410 Apr 20, 2022 #417 Carica_papaya said: Hivi unajua hata kiengereza ulichoongea kwa sentensi 2 teyari kina makos??? Click to expand... must be
Carica_papaya said: Hivi unajua hata kiengereza ulichoongea kwa sentensi 2 teyari kina makos??? Click to expand... must be
Political stability JF-Expert Member Joined Apr 7, 2021 Posts 905 Reaction score 1,410 Apr 20, 2022 #418 mfianchi said: Mwambieni Biden naye aongee Kiswahili, au Putin aongee Kiingereza. Pale Kenya nadhani unajua Kiswahili chao, hatupangwingwi kuongea Kiingereza bana. Click to expand... Mtoa mada uwezo wake mdogo sana.. wa kupambanua vitu
mfianchi said: Mwambieni Biden naye aongee Kiswahili, au Putin aongee Kiingereza. Pale Kenya nadhani unajua Kiswahili chao, hatupangwingwi kuongea Kiingereza bana. Click to expand... Mtoa mada uwezo wake mdogo sana.. wa kupambanua vitu
Kiraka JF-Expert Member Joined Feb 1, 2010 Posts 4,630 Reaction score 4,687 Apr 20, 2022 #419 Nyani Ngabu said: Huyu alizaliwa na kukulia Butiama huko. Hebu mcheki hapo. Super impressive. Hasomi popote. Click to expand... Huyu kasoma Makerere University, University of Edinburg nadhani kidogo amekuwa polished sana kwa lugha.
Nyani Ngabu said: Huyu alizaliwa na kukulia Butiama huko. Hebu mcheki hapo. Super impressive. Hasomi popote. Click to expand... Huyu kasoma Makerere University, University of Edinburg nadhani kidogo amekuwa polished sana kwa lugha.
Buyuni Kwetu JF-Expert Member Joined Sep 29, 2013 Posts 2,357 Reaction score 2,481 Apr 20, 2022 #420 Ezekiel Mbaga said: Nyie nyie c ndo mlimsifia alipohutubia umoja wa mataifa na hicho hicho kingereza au imekuwaje tena.? Click to expand... Kiingereza cha kusoma kutoka kwenye karatasi ni TOFAUTI sana na cha kuongea kutoka kichwani. Hata mimi nikiambiwa nisome wote mtanisifu, ngoma inakuja niwe naulizwa maswali na kutakiwa kujibu kutoka kichwani!!!
Ezekiel Mbaga said: Nyie nyie c ndo mlimsifia alipohutubia umoja wa mataifa na hicho hicho kingereza au imekuwaje tena.? Click to expand... Kiingereza cha kusoma kutoka kwenye karatasi ni TOFAUTI sana na cha kuongea kutoka kichwani. Hata mimi nikiambiwa nisome wote mtanisifu, ngoma inakuja niwe naulizwa maswali na kutakiwa kujibu kutoka kichwani!!!