Hawa viongozi vilaza wawe wanashauriwa kutumia wakalimani badala ya kuwa kichekeshoAkiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.
Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.
Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.
Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.
Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.
Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.
Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?
Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?
Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?
Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.
Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza 🤣. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.
Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.
Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!
Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.
Katika viongozi wote tuliyonao na tuliyowahi kuwa nao inaonekana ni hao wawili tu ndio waliweza kuongea vizuri kiingereza na ndio maana wanatajwa wao tu.Mnasahau kuwa hawa walikulia Tanganyika wakati huo lugha ya Taifa na lugha rasmi ni kingereza.
Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.
Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.
Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.
Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.
Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.
Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.
Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?
Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?
Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?
Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.
Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza 🤣. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.
Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.
Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!
Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.
Hata lissu Yuko poaNgoja Membe au January akiwa President mtaona Ngeli inavyotemwa

Kutema yai ni janga kitaifa,huyu mama ni mweupe kabisa,na kwa viongozi wetu kushindwa kumasta kizungu ni ishara ya uwezo mdogo wa mambo Mengi wasio yajua.Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.
Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.
Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.
Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.
Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.
Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.
Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?
Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?
Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?
Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.
Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza 🤣. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.
Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.
Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!
Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.
Labda kiongozi wa uchina sababu ya sera ya Taifa Lao. Ila kiongozi wa Taifa anatakiwa awe mpana sana kwa mambo mengi. Putin akija TZ atabonga kiswahili huwez amini. Muangalie kama kagame, akienda magharibi anabonga kiingereza, wakati pale Kigali kujua kiingereza ni ngumu kwani nyakati zake hakikufundishwa madarasani. Akija TZ kagame anaongea kiswahili kizuri tuu. Rais afaa kuwa mtu wa tofauti, Nyerere Italy alikuwa anaongea kiratini na inasemekana pia aliweza kigirikiPutin, kiongz wa China wao kwenye midahalo wanaongeaga lugha gani
Ova
Wakati nwingine inafurahisha kuona na kusikia tunavyojiona tunajua sana lkn tukikutana na kuzungumza tunajiuliza ni sisi walewale wa JF? Hili nimekuwa nikilisema sana. Pamoja na kuweko wachache sana wanaokielewa Kizungu, wengi wetu tunajisifia wenyewe tu kwamba tunajua lkn ukweli ni tofauti sana.Hapana.
Fluency haihusiani na kusoma vilivyoandikwa.
Ni kwamba hana lafudhi nzito/ nene. Hicho ndicho kinachomfanya aonekane ana afadhali.
Lakini maneno mengi sana yanampa shida kuyatamka.
Hata yale maneno ya kawaida ya hiyo lugha hawezi kuyatamka vizuri.
Ukimwandikia neno kama ‘xylophone’ au ‘discombobulation’, anaweza kupoteza fahamu akijaribu kuyatamka.
Nyerere hajawahi kuwa chawa wa taifa loloteAlipewa heshima mpaka Raha, beberu akikuhitaji uwe chawa wake, anafanya mambo makubwa mazito unapumbazika!
Hii inatutatiza hata "native" speakers km sisi. Ni nini tofauti ya "I have not been feeling well for the LAST 2 weeks" na "I have not been feeling well for the PAST 2 weeks"? Nadhani haya ni makosa madogo ambayo wazungumzaji ufanya na hayana shida kwa sababu hayamfanyi mtu asieleweke.
Hata Kiswahili, tunafanya makosa mengu tu. Haraka - halaka, msamiati - misamiati, halafu - harafu, ujumbe wake wote - jumbe zake zote, nk nk. Magufuli alikuwa hawezi kusema "ng'ang'ania" alikuwa anasema "gangania".
Hata native speakers wa Kiingereza wapo wanaosema, "different than" badala ya "different from", "discuss about ethics" badala ya "discuss ethics" nk nk.
Nyerere hajawahi kuwa chawa wa taifa lolote
Sawa lakini afadhali mno Samia ingekuwa Magufuli dunia nzima ingeaibika, kwanza asingefanya hiyo ziara kwa visingizio vya kubana matumizi huku huku akimzuia CAG kuweka wazi kufuru za matumizi mabovu ya fedha zetu.Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.
Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.
Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.
Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.
Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.
Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.
Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?
Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?
Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?
Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.
Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza 🤣. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.
Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.
Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!
Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.
Siyo kweli mbona wote tumemsikia akiongea vizuri tu!! Au mnataka atamke kama Kamala Harris? Haiwezekani hiyo, kila mmoja ana ulimi wake na koo lake.Kutema yai ni janga kitaifa,huyu mama ni mweupe kabisa,na kwa viongozi wetu kushindwa kumasta kizungu ni ishara ya uwezo mdogo wa mambo Mengi wasio yajua.
JAkiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.
Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.
Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.
Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.
Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.
Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.
Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?
Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?
Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?
Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.
Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza 🤣. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.
Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.
Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!
Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.
Wadau wa elimu tunasisitiza english kuwa lugha ya kufundishia kuanzia chekechea mpaka vyuo vikuu ,kiswahili kibaki kama somo tu ,matatizo madogo madogo yasingeonekanaAkiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.
Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.
Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.
Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.
Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.
Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.
Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?
Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?
Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?
Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.
Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza 🤣. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.
Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.
Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!
Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.
Kupaza sauti? Sauti ipi?Hapana. The state is finally back from ruthless hijackers and mercenaries.
Ilipo sasa hivi kama wananchi tunaweza kupaza sauti na tukasikilizwa si kuuliwa.
Tusiruhusu ipitilize kusikojulikana!!
Kibaya zaidi wataongopa kuwa ziara yake imefaninikisha kuleta "matrilioni" ya uwekezajiSasa subiri Hangaya arudi toka huko Marekani.
Wataenda wote [akina Sirro, Mabeyo, Mpango, Mwigulu, Kinana, Umi, Nape, Gwajima, na wengineo] kumpokea uwanja wa ndege.
Watamwimbia nyimbo, watamchezea ngoma, na usishangae ukimwona Mwigulu kajifunga kibwebwe huku akikatika na kuimba ‘mama kaupiga mwingi Marekani’.
Yaani ujinga ujinga tu.
ilmu!Kizungu atakijua wapi na ilmu yake yakuunga unga
Ni wivu tu kutoka kwa Sukuma Gang. Ile English ya Rais Samia iko vizuri na wala haina dosari.Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.
Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.
Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.
Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.
Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.
Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.
Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?
Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?
Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?
Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.
Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza 🤣. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.
Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.
Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!
Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.
Hata mwendazake alisama," Kuna maraisi walisafiri zaidi nje ya nchi kuliko kwenda kwa mama zao"kumbe jiwe akiwaponda viongozi walio mtangulia sawa tuu?
Unaweza vipi kukosoa ikiwa wewe mwenyewe haujui lugha yako!Nyerere Na Mkapa walikua super sana kwenye iyo lugha ,kujiamini na kutema madini tu bila kuandikiwa kwa kutumia iyo lugha