N Nyang'omango Senior Member Joined Nov 6, 2011 Posts 194 Reaction score 87 Jun 25, 2013 #41 Mama wawili tupo wengi....msaada wako unatakiwa....okoa jahaz.....ukiweza toa namba yako ya cm ili tukutafute.....!!
Mama wawili tupo wengi....msaada wako unatakiwa....okoa jahaz.....ukiweza toa namba yako ya cm ili tukutafute.....!!
P Precise Pangolin JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 13,151 Reaction score 6,968 Jun 26, 2013 #42 Mr pesa said: Nimehitimu kidato cha nne mwaka juzi lakini sijui kingereza cha kuongea wala kuandika ujumbe. Wana Jf nifanyeje ili niwe mkali katika lugha hii Click to expand... Bishana na Kiranga humu JF ndio utajua kiingereza kigumu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mr pesa said: Nimehitimu kidato cha nne mwaka juzi lakini sijui kingereza cha kuongea wala kuandika ujumbe. Wana Jf nifanyeje ili niwe mkali katika lugha hii Click to expand... Bishana na Kiranga humu JF ndio utajua kiingereza kigumu
Karao JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 1,057 Reaction score 603 Jun 26, 2013 #43 nenda kwenye vituo vya english course ukajifunze,