Nyang'omango
Senior Member
- Nov 6, 2011
- 194
- 87
Mama wawili tupo wengi....msaada wako unatakiwa....okoa jahaz.....ukiweza toa namba yako ya cm ili tukutafute.....!!
Bishana na Kiranga humu JF ndio utajua kiingereza kigumuNimehitimu kidato cha nne mwaka juzi lakini sijui kingereza cha kuongea wala kuandika ujumbe. Wana Jf nifanyeje ili niwe mkali katika lugha hii