You wish!!!!!!!!
kwahiyo sasa hivi uko chooni!!!1Heheheh...kwa kweli huku duniani raha kweli.... hawa mabinti hapa ofisini wanamkandia kuna dogo kaajiriwa hapa kama mwezi hivi sasa...huyu dogo anagonga ng'eli mda wote, mpaka raha yani ......ila hawa mabinti hapa ofisini wanammaindi eti wanaambiana ''Kiingereza bila pesa ni sawa na kupiga kelele tu'' na mwingine anasema ''inahu''
Kwa kweli sijui nini kimewapata maana walikuaga wanatoa tundi kwa english speaking dudes tu....siyaamini masikio yangu. Dah!
Aisee..yaani kila nikikumbuka naenda kuchekea chooni. Unaweza fikiri nimeshikwa na tumbo la kuhara jinsi ninavyopiga ruti za toileti, kumbe kila nikikikumbuka kicheko kinanijia . Aisee.
Preta hata wewe.......kwa hiyo lugha sio ishu.....wallet ndio inatakiwa iongee...hata kama ni bubu lakini kama wallet imevimba papuchi unapata.
kwahiyo sasa hivi uko chooni!!!1
Thanks....ila ndio ivyo lazima tutaugua vichwa sana mpaka tuzoee....itabidi tutembeee na hedex.
Absolutely vodka.......sijui this mara what yanihusu nini.....lugha ya shangazi yangu hiyo......we ongea kichagga......kibarbaig.....mradi tuelewane......kwanza ukiona kingereza kimezidi.......hakuna kitu hapo.......
hahaaaa!haya bana
panadol zile za kupima mojamoja
ndio zinafanya kazi haraka lolz!
hizo nilizokwambia kibokoEbu niambie..ni kweli za moja moja zinafanya kazi...maana mimi nimezoea zile za kwenye vipacti..
Hahaha....nimeambiwa na Passion Lady kuwa nijiamini hivyo nacheka hapahapa tu...
hizo nilizokwambia kiboko
kichwa kikizingua tu unapiga faster utaniambia
za pakti gharama ukizingatia mgeni ofisini ndio kafika!
c utamaliza hela nyingi?