papuchi for sale bana....
Hehehhe..aisee una point hapo...maaana sio kawaida kabisa hawa mabinti hapa ofisini wanavyowapenda vijana wanaoact na kuongea kama wazungu...yaaani nacheka siku nzima..... Itakua ni sizitaki mbichi hizi. hehehehe..hao watakua wamejigonga
jamaa hamynd hizo habari,inabidi wamchukie heheee!
loh sasa chooni kwani unaogopa kuchekea hapo walipo?
wacheke hadharani na ww wakuoneHehehhe..aisee una point hapo...maaana sio kawaida kabisa hawa mabinti hapa ofisini wanavyowapenda vijana wanaoact na kuongea kama wazungu...yaaani nacheka siku nzima..... Itakua ni sizitaki mbichi hizi. hehehehe..
wacheke hadharani na ww wakuone
ili wakome kabisa kudharau tusiojua kidhungu!
wivu unawasumbua
Passion Lady tatizo age...wanaweza kuanza kunisuta hapa..hehehe mbina itakua balaa..
wakusute kisa umecheka?
usiishi kwa kuogopa watu na sidhani kama
watakua na ubavu huo,coz ni aibu kwao!
Senki you umenipa ujasiri...ngoja wakimsema tena tu naangua kicheko mpaka wote wasikie...najua lazima watamsema tu maana ..jamaa kama mmarekani vile......hata akidondosha kitu anashtuka kizungu....hahahaha.
mwambie jamaa aongeze mbwembwe wakome
hahaaaa!
Eh! nitaweza kweli ....ebu ngoja niifanyie kwanza mazoezi maana nafikiri itakua ni kwa kiingereza pia...nehehehe
Au kama vipi unaweza nifundisha jinsi ya kumwambia kwa kizungu.hahahaha.
kwani jamaa si mswahili
ina maana kiswahili anakijua
mwambie kwa kiswahili bana mi mwnyw
nilisoma saint kayumba loool!