ndugu yangu weeee!yani hawa wachina wanaitawala dunia kwa sasa!Huyu ni mgonjwa au alikula dawa za kichina za kukuza makalio?
acha mapaja yaitwe hips tu!!!!!Mambo ya Jamaica hayo
Huyu ni Real Crazy Mama..... RIP ARROW!!!
Tumeburudika.
unajua ni nini hapa, kavaa tight fulani hivi za sponch ila zina kama waya kwa pembeni, zipo zinauzwa, ukitaka za makalio au za hips au za maziwa ni wewe tu.ukitaka kujua kavaa, angalia hapo juu ya magoti kidogo utaona mtuno fulani unaonyesha alichovaa ndani...ila bado ni kulekule kwa mchina raha ya huyu haimwathiri mwilini labda imwathiri kwa atakaemtamani halaf akienda bafun akirud hips haliko..lol dunia ina mamboooo!!!!
Hiyo ilikuwa Intro.....mambo ni Lord Kitchener. Huyo dada akiwa wangu, for Sure " I won't let no money Touch my Sugar Bum Bum 🙂
ndugu yangu weeee!yani hawa wachina wanaitawala dunia kwa sasa!
unajua ni nini hapa, kavaa tight fulani hivi za sponch ila zina kama waya kwa pembeni, zipo zinauzwa, ukitaka za makalio au za hips au za maziwa ni wewe tu.ukitaka kujua kavaa, angalia hapo juu ya magoti kidogo utaona mtuno fulani unaonyesha alichovaa ndani...ila bado ni kulekule kwa mchina raha ya huyu haimwathiri mwilini labda imwathiri kwa atakaemtamani halaf akienda bafun akirud hips haliko..lol dunia ina mamboooo!!!!
... Kwahiyo akivua unawezakuta anamakalio kama chapati.
Aren't these black samba gals from Brasilia?....I doubt or they immitated real Brasilia gals.