Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Huyu huyu wa Stan Chart na KCB? Kwani kuondoka kwake bank zote hizo kulisababishwa na nini? Ni kweli that is the best of what we have?Ndo Heri Bomani anaenda kuchukua nini?
Ndo Heri Bomani anaenda kuchukua nini?
sasa Credit apewe nani wana JF kwa kampeni ya kumngoa ama?
GT.. tuliposema kuwa Kikwete bado ana nafasi mbili za ubunge ambazo hajazijaza haikuchuka muda wakakimbia kuzijaza; na sasa tulipodokeza kuhusu Kihwele.. naona wameamua hatimaye kuagana naye. Nadhani pongeze wapewe wao waliochukua maamuzi.
una majibu ya ki- Yesu Mkjj. Do you remember 'Je wewe ni mwana wa Mungu' naye akawajibui akisema "wewe wasema" lolGT.. tuliposema kuwa Kikwete bado ana nafasi mbili za ubunge ambazo hajazijaza haikuchuka muda wakakimbia kuzijaza; na sasa tulipodokeza kuhusu Kihwele.. naona wameamua hatimaye kuagana naye. Nadhani pongeze wapewe wao waliochukua maamuzi.
Zile za Ubunge zilijazwa na maendeleo mapya ya CUF/CCM. Rais hakuwa analazimika kuzijaza.GT.. tuliposema kuwa Kikwete bado ana nafasi mbili za ubunge ambazo hajazijaza haikuchuka muda wakakimbia kuzijaza; na sasa tulipodokeza kuhusu Kihwele.. naona wameamua hatimaye kuagana naye. Nadhani pongeze wapewe wao waliochukua maamuzi.
Ndo Heri Bomani anaenda kuchukua nini?
GT.. tuliposema kuwa Kikwete bado ana nafasi mbili za ubunge ambazo hajazijaza haikuchuka muda wakakimbia kuzijaza; na sasa tulipodokeza kuhusu Kihwele.. naona wameamua hatimaye kuagana naye. Nadhani pongeze wapewe wao waliochukua maamuzi.
Zile za Ubunge zilijazwa na maendeleo mapya ya CUF/CCM. Rais hakuwa analazimika kuzijaza.
Naona ma CEO wa kibongo kwenye Foreign Bank wanazidi kuchemsha,yule wa Barclays Bank kaondolewa,sasa KCB...next nafikiri atakuwa wa UBA,...watakuja wakenya tu....sasa sijui kweli wanashindwa ku deliver au ni majungu tu..
Yule wa CBA anaonekana kupata mafanikio (kama alivtotoa taarifa ya maendeleo ya benki yake 2009 kwenye media ) kwa kupata faida kubwa na kupanuka zaidi..
Huenda akaomba hiyoo nafasi ya Kihwele kwani anapenda sana kufanya kazi katika taasisi za umma kwa malengo ya kisiasa baadaye pia..