hii hbr ni ya kigaidi.
inawaweka wasomaji ktk hamaki (terror) dhaania isiyohalisi.
ni vizuri kuhabarishana habari kamili, vinginevyo iandikwe "tetesi", na tetesi yenyewe iwekwe sio framework ya tetesi
EVARIST CHAHALI, ALIWEKA BANDIKO KUWA 'KILA MTZ MWENYE MAPENZI MEMA, APGE KELELE KUHUSU YANAYOENDELEA' LAKN AKANIACHA HOI KUWA ALIMPGIA DEBE MAGUFULI KWA SABABU ZAKE BINAFSI... SASA MTU ANAYEMPGIA KAMPEN KIONGOZ KWA SABABU BINAFSI, ASIAMINIWE.. UZALENDO NI KULINDA MASLAHI YA TAIFA.. CHAHALI, ALISTAHILI KUTIMULIWA