" Chama hiki kimejikita katika kusukuma ajenda za maendeleo, kwaiyo akitokea mtu akasema hakuna kilichofanyika unabaki unamuangalia" amesema Kihongosi
Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi akizungumza na waaandishi wa habari katika leo Oktoba 5, 2025 katika ukumbi wa White House CCM Makao Makuu Dodoma ameeleza namna ambavyo Chama cha Mapinduzi (CCM) kimejikita katika kusukuma maendeleo akibainisha kupitia awamu tofauti za uongozi tangu awamu ya Hayati Mwalimu Julius Kambarahe Nyerere hadi sasa awamu ya Rais Samia kumekuwepo na Mabadiliko na maendeleo mengi
Aidha amewasisitiza Waandishi wa Habari kuendelea kueleimisha jamii ili vizazi viweze kujua kwamba maendeleo yaliyopo sasa yanahistoria kubwa kuwa kuna watu walipambana