kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Anunue pia hizi huenda zitamsaidia kurekebisha vifaa vyake vya kivita vinavyochakazwa kila uchao 😅Akanunulie masala chai na pilau vinukie bila kusahau embe na nanasi.
Anunue pia hizi huenda zitamsaidia kurekebisha vifaa vyake vya kivita vinavyochakazwa kila uchao 😅Akanunulie masala chai na pilau vinukie bila kusahau embe na nanasi.
Nchi hizo zitakazomwagiwa Rupia zitakuwa hazina kwingine kwa kununua hayo mafuta?Sasa hivi waagizaji wa mafuta wanaagiza mafuta toka India, Urusi wanaweza kutumia mwanya huo kumwaga rupee za India badala ya kutumia Dola wakatumia rupee Ila hayo ni mawazo yangu Kama ningekuwa wazuri wa fedha.
... India, kama yalivyo mataifa mengi duniani, wanapendelea kuuza nje kwa dola au euro kuliko rupee yao.Anaweza kukopesha hata nchi Kama zetu ambazo zinanunua Sana vitu.
India ni miongoni mwa mataifa makubwa ambayo yameendelea kiviwanda na teknologia, bado Urusi anaweza kununua vitu vingi toka India.
... tena zikanunue from middle men badala ya from the actual producers with a lot of risks including sanctions. Labda biashara za magendo but hakuna entity serious including governments zinaweza kufanya hivyo.Nchi hizo zitakazomwagiwa Rupia zitakuwa hazina kwingine kwa kununua hayo mafuta?
ata sisi Tanzania wafanyabiashara wetu wanalipa kwa dollars na itakuwa vigumu sana kukubali kuanza kutumia Tshs au Rupee katika hiyo biashara.![]()
Watu Wa BRICS watasema watazitumia wanapokuja kutalii.Sasa wakishanunua kwa Shilingi ya TZ, huko India atazifanyia nini? Au mpaka msimu wa Korosho ifike.
Tz na India Wana makubaliano ya kuuziana kwa sarafu zaoRupee nyingi zaidi ziko katika benki za India na zinakuwa vigumu kutolewa kupelekwa nchi nyingine kwa sababu India ina sheria ngumu za kuhamisha mitaji kutoka nchini kwake, pia wafanyabiashara na makampuni kwingine duniani hawataki kujiingiza katika migogoro ya vikwazo vya West.
Halafu pia mataifa mengi kama sio karibia yote yanayonunua mafuta safi India wanalipa kwa dollars, Hata sisi Tanzania wafanyabiashara wetu wanalipa kwa dollars na itakuwa vigumu sana kukubali kuanza kutumia Tshs au Rupee katika hiyo biashara.
Haipo hivyo. Urusi iliwatangazia nchi za Ulaya kuwa zikihitaji mafuta na gas yake basi zitatakiwa kulipa kwa Ruble, ila India, China na washirika wengine watalipa kwa sarafu za nchi zao.Katika hiyo biashara Urusi anapoke fedha ya India ama anapokea fedha yake mwenyewe? Urusi alitangaza anauza mafuta yake kwa pesa yake ya Ruble.