Simba[emoji23]Unajifariji tu, sisi ndiyo Simba SC na tuko nafasi ya 7 kiviwango timu bora Africa.
View attachment 3002306Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
We kweli chizi, alikuwa huko huko UTO kipindi simba katolewa na jwaneng na kuangukia shirikisho.Washa data kipindi HICHO alikua Wapi SIO HUKO HUKO kwa MAKOLO WIZARD?
Wenye akili ni wawili tuAlisema wenye akili ni wawili mkukabaliana nae hata hili la kombe la loser mnatatikiwa kukubaliana nae
Alishashuka daraja huyoMkacheze na kina Malumo tuone mtafika wapi
Haya kachezeni Kombe la LooserWe kweli chizi, alikuwa huko huko UTO kipindi simba katolewa na jwaneng na kuangukia shirikisho.
Picha ya lini hii??
Nipe Namba yako na Mimi nije nikuwekee Mkono hapo kwenye kalioUnajifariji tu, sisi ndiyo Simba SC na tuko nafasi ya 7 kiviwango timu bora Africa.
View attachment 3002306Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
SOON mtaanza na Matola mkimmaliza Matola anafuata Mgunda HUKU Mangungu na Try Again wanapasha mkimmaliza mnamfuata mwekezaji MO mwenyewe HAPO Ahmed Ally akiwa anapasha kuchomolewaIN MGUNDA WE TRUST
Misimu miwili mbeleni ya ligi Simba watakaa sawa kama timu inayojielewa i.e msimu wa tatu kuanzia msimu ujaoMwamedi kawatema