Acha uoga😂Daaah ....makaburini Tena ....wakati tuna furaha .....huko watatukuta makolo wakija kutambika[emoji23][emoji23][emoji23]
Walisema Kombe la Looser
Alisema kuwakandia Simba alipohamia Yanga. Yanga waliposhiriki kombe Hilo Hadi kufika fainali Simba walitumia Kauli hiyo hiyo. Muasisi WA 'Kombe la Loser' ni Manara.Akiwa Simba maana yake alikua anasema kwa niaba ya Simba, Muda huu Manara yupo CHOONI anacheka vibaya sana
Homer Simpson katuni wa maana kabisaTafsiri ya Ubuntu botho Kwa dictionary ya makolo
1 picha ya kwanza ....makolo wakaja na jersey yao nyekundu tar 5.....wakala 5G[emoji23][emoji23]
picha ya 2wakakimbia kujificha .... ..
Picha ya 3 .....wakaja na jersey za mamelodi.....Baada ya mamelodi kula kichapo ila wakabebwa refa makolo ..... Wakala mbio
Itaendelea[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 3002104
Kipigo Home & AwayKule looser cup atakula ni Cha wote
SanaaaKabisa mkuu....MUNGU fundi sana
Unajifariji tu, sisi ndiyo Simba SC na tuko nafasi ya 7 kiviwango timu bora Africa.Hahaha waliliita Kombe la Looser? Sasa wakacheze na ma-looser wenzao kombe la Shirikisho wenzao wanaenda Kilabu Bingwa
Kule hawafiki kokoteSimba ni jumba bovu liacheni lianguke.
Kombe la Looser huwa lina wababe wake na wala sio Simba.
Ni imani yangu Makolo wataondolewa kwenye makundi tu shirikisho , tusiwape ukubwa wasiokuwa nao, kufika fainali kunataka msuli ambao simba hawana kwasasa!