Njoo mbagala makaburini ulizia bar ya mama Fatuma utanikutaEbu tafuta chimbo tukale bila....[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio Kwa furaha hii
Tuwaone sasa na wao wakifika fainali
Tutalibeba kabisa hilo kombe la 'losers'...Ole wao wasifike Fainali ya loosers
Akiwa Simba maana yake alikua anasema kwa niaba ya Simba, Muda huu Manara yupo CHOONI anacheka vibaya sanaAliesema ni Manara.
NIPO karibu hapa km Mita 100 hivi nakuja HAPO nikukute umevaaje?Njoo mbagala makaburini ulizia bar ya mama Fatuma utanikuta
Tafsiri ya Ubuntu botho Kwa dictionary ya makoloUbuntu botho[emoji23][emoji23]
Alisema wenye akili ni wawili mkukabaliana nae hata hili la kombe la loser mnatatikiwa kukubaliana naeWatu mnajizima data aisee, aliyeanzisha kuita loser cup si huyo aliyesema wenye akili ni wawili huko UTO
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu mwasibu OKW BOBAN SUNZU tia neno hapa tafadhali.
Watu tutakuja kweli ohooo!Njoo mbagala makaburini ulizia bar ya mama Fatuma utanikuta