Kigwangalla naye kutumbuliwa kama Nape?

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
23,758
21,956
Kuna taarifa kwamba jeshi la polisi mkoani tabora limemkamata mbunge wa Nzega, Dr Hamis Kigwangalla aliyekuwa kwenye maandamano ya wachimbaji wadogo wa dhahabu kupinga kufungwa kwa machimbo yao ya Mwashina yaliyo jirani na mgodi wa Resolute Tanzania Limited.

Baada ya utumbuaji wa Nape, tusibiri utumbuaji mwingine kesho.

Source: WhatsApp
 
Naibu Waziri mzigo!!!!! Yaani yeye yuko kwenye serekali iliyopitisha hilo tamko halafu anaenda kuandamana tena? Huku kuomba kupendwa na kuomba kura za 2020 kumezidi kipimo!!! Ila siwezi kushangaa huyu hujitambui kabisa
 
Back
Top Bottom