Kigwangalla: Katibu Mkuu wa CHADEMA ana kashfa ya kuongoza migomo ya madaktari Tanzania

Nafikiri HK ni waziri mwenye IQ ndogo kuwahi kutokea.
Waziri wa Afya unajisifu kwa kuongoza mgomo?Uliosababisha Vifo vya binadamu? Waziri? unaona fahari na kumsuta aliyeachana na mgomo? Total disgrace!
 
Dr.Kingwa acha kudakia maneno ya watu Fanya Kazi zako mbona mengi Juu yako tunayajua? Katibu MKUU wa chadema kakufanya nini
 
Dr.hufai hata kuteuliwa kwako badala ya kuwaomba msamaha wananchi walioathirika Na mgomo unajisifu pole Na CCM yako kumbe wewe in Jipu
 
Na hii ni ID yako nyingine.
Ndugu Mkendo, nina miaka zaidi ya nane hapa JF lakini sina idadi ya post ulizonazo wewe wa 'juzi'; it says a lot kuhusu tofauti yangu na yako; nachoandika nakifahamu sina chembe ya ushabiki katika hili.
 
Hamisi Kigwangalla

Ndg. Dkt. Mashinji is a friend, brother and colleague. Hakuwahi kutuokoa mimi na Dkt. Ulimboka na hakuwahi kuongoza mgomo, sema alishiriki mgomo ulioongozwa na mimi na Dkt. Ulimboka.

Kiukweli, ni mwanasiasa mzuri, msemaji, msomi mzuri (tumesoma naye MBA chuo kimoja), sina hakika kama alimaliza masomo ya Ubingwa maana alinyanyaswa na Supervisor wake, akasusa akaamua kujiunga masomo ya
MBA, na sina hakika sana kuhusu 'msimamo usiotetereka'. Maana baada ya vitisho vya 2005, aliyumba sana na tulimtenga na ku-aVoiD kumualika vikao vya CC ya mgomo.

Hivyo, kama kigezo kilikuwa ni hii Historia, pole kwa CHADEMA.

NIANZE NA UHALALI WA JINA:

Usipotoshe watu jina la Hamis Andrea si jina lako kijana mwenye jina hili yupo Nzega unafahamu na baada ya Wewe KUTEULIWA Chama na Wana CCM kilikushauri uende mahakamani kuapa kupata kiapo cha mahakama kubadili jina na kulichukua rasmi jina la Hamis Andrea na ulifanya hivo, jina la hamis andrea umelichukua Rasmi baada ya KUTEULIWA na kabla ya kuchukwa Form na kuhisi utawekewa Pingamizi, lakini deep in your heart uanafahamu wewe na mimi tumesoma same primary school na mimi na wewe hatukufaulu DARASA LA SABA KITONGO PRIMARY SCHOOL.

Baada ya hapo kutumia nafasi ya mama yako ambae wakati huo alikua ni mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Nzega ulienda mwanzoli ukachukua jina la HAMIS ANDREA na kuanza kulitumia kijana huyu alifaulu yeye na watoto wa MZEE MTANGA WAKIKE AMBAO NI TWINS kwakuwa hakuwa na taarifa mapema na kwa kuwa kijana huyu baada ya kumaliza pale mwanzoli alienda kuishi KITANGILI baada ya mitihani taarifa za ufaulu wake zilichelewa kumfikia kijana huyu, ulichukua nafasi yake na wewe kwenda KIGOMA SEKONDARI.

Ni kweli kama ulivosema kwamba wewe nimjukuu wa mzee KIGWANGALLAH,huu ni ukoo wa mama yako na si BABA yako,na tulipokuwa tunasoma Primary ulikuwa unaitwa Jina la SAIDI NASSORO BAGAILE, nayo haya majina ( nassoro bagaile) ni ya ukoo wa mama yako tumekuwa wote hatumjui BABA YAKO na hakuna mtu wa Nzega ambae anamfahamu baba yako na siku zote imekuwa HIVYO until utakapo prove otherwise ( tunaweza kuchanga fedha hapa wanabidii watafute team ya watu wakafanye uchunguzi walete ripoti hapa tujue nani mkweli). Wanabidii mkiangalia HOJA ya kuhalalisha na U TANZANIA WA KIGWANGALA SIKU ZOTE ATAELEZA KWA KIREFU HISTORIA YA UPANDE WA MAMA YAKE UPANDE WA BABA UTABAKI UNCLEAR HATA MAELEZO YAKE HAPA YANAONYESHA HIVO,ingawa haikuwa strategy yangu kum disqualify SAIDI baada ya kuteuliwa katika uchaguzi kwa HOJA YA UIRAI bcs mimi si MUUMINI WA UKABURU HUO.
 
Wale wale wakina nani? tuache mihemuko na tuchangie kama watu wazima. katazame tena wasifu wake ulivyoandikwa, Mmed ni miaka mitatu hakumaliza. Niesema hapo juu, sababu za kutomaliza hazimuondolei sifa yeyote kwa kuwa hakushindwa (kufeli) kumaliza...
So point yako kubwa hapo hicho kipengele kwenye CV yake kitoke ..muda mwingine tumpime mtu kwa ufanisi wake wa kazi tukianza kuangalia CV hatujengi
 
Hivi kumbe sheria ya kupiga marufuku warudiaji ilikuwa na maan kubwa!

Atuambie kwanza waliomtessa Ulimboka hienda Likuwa ndio Mshenga wa watesi wa Dkt. Bingwa
 
NIANZE NA UHALALI WA JINA:

Usipotoshe watu jina la Hamis Andrea si jina lako kijana mwenye jina hili yupo Nzega unafahamu na baada ya Wewe KUTEULIWA Chama na Wana CCM kilikushauri uende mahakamani kuapa kupata kiapo cha mahakama kubadili jina na kulichukua rasmi jina la Hamis Andrea na ulifanya hivo, jina la hamis andrea umelichukua Rasmi baada ya KUTEULIWA na kabla ya kuchukwa Form na kuhisi utawekewa Pingamizi, lakini deep in your heart uanafahamu wewe na mimi tumesoma same primary school na mimi na wewe hatukufaulu DARASA LA SABA KITONGO PRIMARY SCHOOL.

Baada ya hapo kutumia nafasi ya mama yako ambae wakati huo alikua ni mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Nzega ulienda mwanzoli ukachukua jina la HAMIS ANDREA na kuanza kulitumia kijana huyu alifaulu yeye na watoto wa MZEE MTANGA WAKIKE AMBAO NI TWINS kwakuwa hakuwa na taarifa mapema na kwa kuwa kijana huyu baada ya kumaliza pale mwanzoli alienda kuishi KITANGILI baada ya mitihani taarifa za ufaulu wake zilichelewa kumfikia kijana huyu, ulichukua nafasi yake na wewe kwenda KIGOMA SEKONDARI.

Ni kweli kama ulivosema kwamba wewe nimjukuu wa mzee KIGWANGALLAH,huu ni ukoo wa mama yako na si BABA yako,na tulipokuwa tunasoma Primary ulikuwa unaitwa Jina la SAIDI NASSORO BAGAILE, nayo haya majina ( nassoro bagaile) ni ya ukoo wa mama yako tumekuwa wote hatumjui BABA YAKO na hakuna mtu wa Nzega ambae anamfahamu baba yako na siku zote imekuwa HIVYO until utakapo prove otherwise ( tunaweza kuchanga fedha hapa wanabidii watafute team ya watu wakafanye uchunguzi walete ripoti hapa tujue nani mkweli). Wanabidii mkiangalia HOJA ya kuhalalisha na U TANZANIA WA KIGWANGALA SIKU ZOTE ATAELEZA KWA KIREFU HISTORIA YA UPANDE WA MAMA YAKE UPANDE WA BABA UTABAKI UNCLEAR HATA MAELEZO YAKE HAPA YANAONYESHA HIVO,ingawa haikuwa strategy yangu kum disqualify SAIDI baada ya kuteuliwa katika uchaguzi kwa HOJA YA UIRAI bcs mimi si MUUMINI WA UKABURU HUO.
 
Hamisi Kigwangalla

Ndg. Dkt. Mashinji is a friend, brother and colleague. Hakuwahi kutuokoa mimi na Dkt. Ulimboka na hakuwahi kuongoza mgomo, sema alishiriki mgomo ulioongozwa na mimi na Dkt. Ulimboka.

Kiukweli, ni mwanasiasa mzuri, msemaji, msomi mzuri (tumesoma naye MBA chuo kimoja), sina hakika kama alimaliza masomo ya Ubingwa maana alinyanyaswa na Supervisor wake, akasusa akaamua kujiunga masomo ya
MBA, na sina hakika sana kuhusu 'msimamo usiotetereka'. Maana baada ya vitisho vya 2005, aliyumba sana na tulimtenga na ku-aVoiD kumualika vikao vya CC ya mgomo.

Hivyo, kama kigezo kilikuwa ni hii Historia, pole kwa CHADEMA.
Dah kumbe ulimboka angekufa bure na muasisi wa migomo ni kigwangala waziri wa magufuli
 
Hamisi Kigwangalla

Ndg. Dkt. Mashinji is a friend, brother and colleague. Hakuwahi kutuokoa mimi na Dkt. Ulimboka na hakuwahi kuongoza mgomo, sema alishiriki mgomo ulioongozwa na mimi na Dkt. Ulimboka.

Kiukweli, ni mwanasiasa mzuri, msemaji, msomi mzuri (tumesoma naye MBA chuo kimoja), sina hakika kama alimaliza masomo ya Ubingwa maana alinyanyaswa na Supervisor wake, akasusa akaamua kujiunga masomo ya
MBA, na sina hakika sana kuhusu 'msimamo usiotetereka'. Maana baada ya vitisho vya 2005, aliyumba sana na tulimtenga na ku-aVoiD kumualika vikao vya CC ya mgomo.

Hivyo, kama kigezo kilikuwa ni hii Historia, pole kwa CHADEMA.
we kigwangwala acha siasa, piga kazi..au umesahau kuwa HAPA KAZI TU
 
Dk. Kigwangala amekiri wazi na kutoa pongezi wazi kwa CHADEMA kwa kumchagua katibu wao mkuu Dk. Mashinji, kupitia account kadhaa za Kingwangalla anakiri wazi kuwa Dkt. Mashinji ni msomi mzuri na mwanasiasa mzuri ingawa anadai hana uhakika kama alimaliza masomo ya ubingwa maana alinyanyaswa na Supervisor wake, akasusa akaamua kujiiunga masomo ya MBA ambapo walisoma nae chuo kimoja.

Pia Dk. Kigwangalla amesema kuwa Dk.Mashinji hana kashifa yoyote kuhusiana na mgomo wa madaktari na hakuwahi kuongoza mgomo, sema alishiriki mgomo ulioongozwa na Dkt. Ulimboka na hana mashitaka sehemu yoyote. Kwa kutoa msisitizo wa kumkubali Mashinji azidi kutoa sifa kwa CHADEMA kuwa kiukweli Dk. Mashinji ni mwanasiasa mzuri, msemaji, msomi mzuri atawafikisha mbali sana.
 
si jana tu alikuwa anasema huyu katibu wa chadema ni kiongozi wa maandamano

huyu ni wakutumbuliwa saa hizi ni kufanya kazi sio mambo ya ajabuajabu hayo anayoandika facebook tena wakati wa kazi ama mawaziri wanaruhusiwa kuchat saa za kazi tena facebook
 
Back
Top Bottom