Kigwangalla amjibu Bashe Kiaina Kuhusu Pamba Nzega!

Nakubaliana 100% na approach ya Mbunge hapa, Bashe sio individual ni institution, ameamua kwa nguvu zote na anapewa support ya kuifanya Nzega isitawalike, hivi ni nani anampa kibali cha kuingia jimboni na kufanya anti development campaigns na anaachiwa? Nakubali pia strategy ya mbunge ya kupambana nae jino kwa jino, ikiwemo ya kumuita msomali maana si tusi, kwa nini aonee aibu asili yake, watanzania tuache kutumiwa kubeba watu wafanye yao waondoke, hatuwezi kusoga mbele pasipo kuzungumzia 'uzawa na uzalendo. Bashe hataki uongozi anataka madaraka. Ni kweli pia ya kwamba hana uwezo wa kufanya lolote focus yake yote iko kwenye kupata ubunge kwa garama yoyote. Pia nakubali kwamba huyu bwana kama lilivyokundi lake hawana uwezo wa kupata kura kihalali, na la mwisho badala ya matusi Bashe aonyeshe hapa JF mafanikio yake 'visible indicators' sio hadithi za kutuambia atamlipa Dani Mwakiteleko msharaha yake kwa miaka mitano, huku akijua kabisa kwamba hakuna sheria inayoruhusu kulipa marehemu, labda uwe na bima ya maisha ambayo anafahamu kuwa wafanyakazi wote wa kampuni anayoingoza hawana bima yoyote, wala hawako kwenye mfuko wowote, nataka kumuuliza hapa je tangu Dani afariki ameshailipa familia yake mishahara mingapi? hebu angalia pale habari wanavyokufa njaa, wachovu kabisa kabisa kuliko kampuni yoyote, wachafu, familia zao zimalala yeye eti kaongeza jengo, akae nani? Nasikia Mwananchi alifukuzwa kwa kutaka kumpiga Sholei kisa anafuatiliwa afanye kazi, hana uwezo hao ndio viongozi wa mapinduzi ndani ya CCM. Mimi nakubaliana na yoyote yule anayeleta mabadiliko ya kiuchumi kwa wananchi, haijalishi mbunge kama anatumia kampuni yake ama la, sasa walitaka atumie ya nani? RLDC ni NGO inayoheshimika, Bashe waache wana Nzega wabadilishe maisha, hakuna atakayekubali kurudia ya Igunga, eti jimbo miaka 18 ni squarters , watu wanaishi kama wako stone age, walichofanikiwa ni kumtajirisha mbunge wao Rostam ambaye nae tukimuita mu Iran mtasema anatukanwa, eti nae anadai mnyamwezi wakati hata kibanda miaka yote hiyo hapo igunga hana. Go go Mbunge pigana kufa na kupona pamoja ya kwamba na wewe pia hukujibu hoja ya kutumia jina la mwenzako na kuiba nafasi yake ya shule, hayo madudu ya Bashe na familia yake pia nakushauri uyamwage kabisa mapema usituletee ya mwakyembe kusema eti alikua anai protect serikali, against who? leo hii hatutaki kusikia kisa tu kwa sababu yamemrudia yeye, kwa kunyamaza ni sawa na kuwaua watanzania mamilioni ama kuwapa hawa wote huo upupu wa ngozi, viongozi acheni ubinafsi kumbuka tanzania inaelekea Libya kwa saba usalama wako ni namna gani unatumiwa kufanyia watu wa mungu ushenzi
 
Napita tu! Bashe atapotea kabisa kisiasa kabla hajafika popote, kama huyu ndiye mshindani wake...inaelekea hili jamaa linajipanga kweli kweli, kila kona....mwanzoni hatukumjua Kigwangwallah vizuri ila sasa mimi namkubali sana...majuzi kati hapa alichangia Bungeni na kumwambia Ngeleja ajiuzulu kwa kashfa zilizojaa kwenye wizara yake...
 
Maoni yenu nimeyasoma na nitayafanyia kazi. Fahamuni kuwa siasa ni siasa na fitna ya kisiasa raha yake itibiwe kisiasa, na ya kisheria ishughulikiwe kisheria! Mimi kuwa Kiongozi haikupi wewe nafasi ya kunitukana, kunikashifu na kisha kunizuia kujibu mapigo! Kama ni hivyo basi wala usiniite Mheshimiwa, niite HK tu inatosha. Kabla sijawa Mbunge nilikuwa na heshima na staha yangu, leo hii badala ya kuongezeka, imeshushwa na 'mtu mmoja tu' - hili halinisumbui sana, maana mi mpiganaji tu na hizi ndiyo kona kona za maisha, lakini kumuingiza mama yangu kwenye siasa za maji taka ni jambo nitakalolipinga kwa nguvu zangu zote! Hata kama ikibidi kumshambulia mama yake huyu mtu...

Acha ujinga wewe usiwe poyoyo mkuu. Umtukane mama yake ili iweje? Kama amekuchafua si uende mahakamani. Unajidhalilisha kwa kauli zako za kijinga, mpaka fb vijana wadogo tu wanakukimbiza kwa hoja kila siku huoni aibu?

kumbuka wewe ni public figure wakati bashe ni mtu wa kawaida tu. Kuwa makini bwana argggghhhh
 
Bila kuathiri uwezo wa mipasho alonao mh HK mie najikita kwenye hiyo taarifa.

Huo mradi wa kuendeleza pamba nzega ni nje ya mpango wa bodi ya pamba kuendesha contract farming inayofadhiliwa na Gatsby foundation ya Uk?

Msk solution inaongeza vipi bei huku wenyewe mmeshindwa kuendesha kiwanda cha pamba Mwalujo.

Kusema mnaleta soko la pamba la uhakika mnamanisha nini? Mbona kuna viwanda vya pamba igunga ambayo iko jirani na nzega.

Taarifa yenu inapotosha wasojua cotton industry
 
Kamanda, huyu msomali alinianza mwenyewe na sasa he has to face me! He thought I was the likes of Selelii...

Bora hata mimi namshambulia yeye binafsi, yeye amekuwa akimshambulia Mama yangu mzazi na kwa hili sintomsamehe...sijaamua kuwakosea heshima wazazi wake tu basi, lakini siku ikibidi nitafanya hivyo, maana nina database ya madudu ya familia yake na niko tayari kuyaanika ili kumchafua tu kama yeye alivyofanya na anavyoendelea kunishambulia kwa kutumia makuwadi wake wasio na haya wala aibu!

Tofauti na yeye, mimi nina kazi nyingi za kufanya na yeye he is got blah blah tu....na hana uwezo wa ku-deliver kazi yoyote ile! Wanaoijua historia yake watasema ni wapi aliwahi kufanya kazi na ikakubalika?! Hivi amewahi kuajiriwa na kufukuzwa kwenye mashirika mangapi? Mtu wa aina hii ndiyo alitaka "kuununua" Ubunge wa Nzega kweli, hivi angetufikisha wapi?

Hawa ndio wanaounga mkono muswada wa sheria ya mchakato wa katiba(sijui kama ushatiwa saini yailahi). Mungu saidia kuwapa janga wabunge wa aina hii, ikiwezekana ule ugonjwa wa Mhe. Jeremia Sumari umpate huyu bwana. NAMAANISHA!
 
Back
Top Bottom